Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Angalia Quraan yako imetaja ukristo mara ngapi na Angalia biblia imetaja uislam marangapi utapata jibu. Vitu vingine jizoeshe kujisomea mwenyewe hizi elimu za madrasa ni majanga makubwa sana. Hamfikirii zaidi ya kukariri
Sawa.
 
Unaweza kunithibitishia ya kuwa wakati wa mtume Muhammad kulikuwa na Biblia,wenzako hili wameshindwa tena wenye elimu ya Biblia kuliko wewe humu ndani nimejadiliana nao sana,mwisho wanatokomea. Sasa wewe nakupa miaka yote uje kunithibitishia kwamba wakati wa mtume kulikuwepo na Biblia,pili unieleze alilitoa vipi huko ?

Nakumbusha tena,tujikite kwenye mada.
Unapoongea na mimi usianze kunifananisha na watu uliowahi kuongea nao.
Umeona Sasa uanze kunitishia kwa kuniambia walikukimbia...
Waliona huelewi wakakuacha.
 
Nakupa miaka kumi uje kuthibitisha haya kwa ushahidi wa kielimu,ukishindwa naomba uje kuwaambia wenzako.
Mtume wenu alikuja baada ya KRISTO.
Kipindi Yesu akiwa anahubiri kwenye masinagogi alitumia biblia kuhubiri. Alitumia pia biblia kudhibitisha kwamba alitabiriwa kuja duniani. Alisoma hilo andiko ndani ya sinagogi.
Unataka udhibitisho gani Tena?
 
Hilo unajua wewe na mtume wako.
Mimi nimeshakupa maana ya kafiri kibiblia
Umenipa tena maana,si umesema sisi tumecopy toka kwenye Biblia ?

Sasa unatakiwa ukiwa unasomeshwa huko uwe unauliza na maana na asili ya maneno.

Hata tamko "Kanisa" ni tamko la Kiarabu. Unalijua hilo ?
 
Angalia Quraan yako imetaja ukristo mara ngapi na Angalia biblia imetaja uislam marangapi utapata jibu. Vitu vingine jizoeshe kujisomea mwenyewe hizi elimu za madrasa ni majanga makubwa sana. Hamfikirii zaidi ya kukariri
Naona anaanza kutuchambulia maneno sijui asili...
Kweli hayo madrasa Yao ni majanga makubwa
 
Mtume wenu alikuja baada ya KRISTO.
Kipindi Yesu akiwa anahubiri kwenye masinagogi alitumia biblia kuhubiri. Alitumia pia biblia kudhibitisha kwamba alitabiriwa kuja duniani. Alisoma hilo andiko ndani ya sinagogi.
Unataka udhibitisho gani Tena?
Unadhani anaelewa Basi
 
Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana

Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela

Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa

Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu

Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama

Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela

NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio

Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana

Acheni maisha ya risk
Daaah!!! Huyo mwanaume anayepelekeshwa na mwanafunzi wa age huyo kwanza sio baharia kabisa!!! Halafu mwanaume unakubalije kuhonga pesa kiasi hicho then mtoto mzembe kitandani?? Yaani huo ni ujinga uliopitiliza....

Sifa mojawapo niliyonayo kama mtoto wa kike nikidate na ww halafu nikakuta mzembe kitandani jua hapo mahusiano hayana muda mrefu...

Halafu na nyie watoto wakike wavivu kitandani nyie ndo chanzo cha kuvunja mahusiano yaani hakuna mwanaume anayependa kuwa na mwanamke gogo kitandani na kama yupo basi na huyo mwanaume mzembe pia!!!

Mwanaume anayekupenda na kukuhudumia vizuri ni yule ambaye anaridhika na huduma yako kitandani maana vichwa vya wanaume wengi huko ndo tumetarget mambo mengine huwa tunachuliaga poa tu...

LA mwisho sifa kuu ya baharia kuhonga mwisho 10000 zaidi ya hapo usijihesabie ww ni baharia!!!!
 
Umenipa tena maana,si umesema sisi tumecopy toka kwenye Biblia ?

Sasa unatakiwa ukiwa unasomeshwa huko uwe unauliza na maana na asili ya maneno.

Hata tamko "Kanisa" ni tamko la Kiarabu. Unalijua hilo ?
Hicho kiarabu unakijua Wewe bwana.
Nilishakupa maana ya neno kafiri kibiblia.
Kujua neno kafiri ,kanisa Ni la kiarabu au kinyakyusa sio Jambo la kulipa uzito
 
Mtume wenu alikuja baada ya KRISTO.
Kipindi Yesu akiwa anahubiri kwenye masinagogi alitumia biblia kuhubiri. Alitumia pia biblia kudhibitisha kwamba alitabiriwa kuja duniani. Alisoma hilo andiko ndani ya sinagogi.
Unataka udhibitisho gani Tena?
Hapa maelezo yako yanapingana,hueleweki unamzungumzia mtume Muhammad au Yesu ?

Kama unamzungumzia YESU unasema uongo,kwani Biblia imeandikwa miaka mingi baada ya Yesu kupazwa na walianza kuandika Injili,Biblia tamko hilo limekuja miaka mingi baadae.

Kama unamzungumzia mtume wetu Muhammad,yeye alikuwa hakui kusoma wala kuandika,vipi alisomaje ?
 
Hicho kiarabu unakijua Wewe bwana.
Nilishakupa maana ya neno kafiri kibiblia.
Kujua neno kafiri ,kanisa Ni la kiarabu au kinyakyusa sio Jambo la kulipa uzito
Kama umenipa maana ya Kafiri inaonyesha wazi kabisa hili neno si lenu bali mmelichukua na mmelichukua kimakosa,na najua kwa sababu gani.

Lazima lipewe uzito sababu kwenye asili ndiko kuna maana sahihi ya neno husika.
 
Hapa maelezo yako yanapingana,hueleweki unamzungumzia mtume Muhammad au Yesu ?

Kama unamzungumzia YESU unasema uongo,kwani Biblia imeandikwa miaka mingi baada ya Yesu kupazwa na walianza kuandika Injili,Biblia tamko hilo limekuja miaka mingi baadae.

Kama unamzungumzia mtume wetu Muhammad,yeye alikuwa hakui kusoma wala kuandika,vipi alisomaje ?
Acha kujifanya haujaelewa au hadi niseme Mudi ndio uelewe nikisema mtume wenu namaanisha nini?

Yesu alisoma BIBLIA Kwenye sinagogi.
Kilichoandikwa baada ya Yesu kupaa kwenda mbinguni ni Agano jipya (injili za mitume). Zinazoelezea maisha ya Yesu mwana Wa MUNGU aliyekufa na akafufuka na hata sasa yu hai.
 
Kama umenipa maana ya Kafiri inaonyesha wazi kabisa hili neno si lenu bali mmelichukua na mmelichukua kimakosa,na najua kwa sababu gani.

Lazima lipewe uzito sababu kwenye asili ndiko kuna maana sahihi ya neno husika.
Hivi Kati ya sisi na nyie,Ni Nani ametangulia kulitumia hili neno!??
Tumechukua kimakosa!?
Huyu jamaa ndio aliwadanganya hivyo!???
Sasa si ndio hayo nimekwambia mnabadili kweli ya kristo.
 
Oohh wow hiyo reliable source yako nimeikubali maana humu JF hakuna mtu nimewahi kumpa namba yangu wala hakuna mtu anayenijua humu so nalazimika kusema kwamba kwanza kabisa you are wrong about me

Pili ni bora ungeisema sababu kubwa ya wewe kuacha kubishana na mimi kuliko huo uongo ambao mtu yeyote anaweza akausema vyovyote atakavyojisikia ni sawa tu na mimi niseme kwamba nimeacha kubishana na wewe kwa sababu nakuona hauna hoja

Kwa mtazamo wangu nitaona niko sahihi ila huo unaweza usiwe uhalisia vivyo hivyo kwa hayo uliyosema kwa mtazamo wako unaweza ukaona uko sahihi lakini huo mtazamo wako unaweza usiwe uhalisia ungesema tu sababu iliyokufanya uache kubishana na mimi halafu hata hivyo humu hatubishani tunaeleweshana

Ila tatizo watu mnataka tukubali kila mnachotuambia yaani tusipinge na tukipinga basi tunaonekana tuna matatizo na hatutaki kuelimishwa anyway siyo kosa lako halafu inaonekana watu wengi humu wanatamani kunijua OMG mimi huwa nadhani tunayoongea humu yanaishia humu kumbe kuna watu wananifuatilia ili wanijue nikoje in real life oohh how I wish I had that much time to waste
Nilikuwa nikijadiliana nae humu ila nlipomjua ni mtu wa aina gani, a very reliable source of mine iliponijulisha ni mtu wa aina gani huyu binti, age wise na hata interests zake nkaona haina haja ya kupoteza muda wangu kubishana au kumuelimisha mtu asietaka kuelimishwa. Mtu ambae anakwenda kwenye mjadala akiwa closed minded.

I know you know what I mean! I know 100% for sure that you know what i mean.
 
Kwani hujaelewa?
Uliza swali vizuri.

Asili ya Yesu ni wapi ?

Asili ya Ukatoliki ni wapi ?

Asili ya Usabato ni wapi ?

Asili ya angilikana ni wapi ?

Ukijibu maswali haya ndio utajua ya kuwa WAKRISTO mnatumia kivuli cha Yesu kuipiga chapuo dini yenu ya KRISTO na madhehebu yenu.

Tujikite kwenye mada.
 
Sijatetea kila kitu na wala sijasema kwamba wanawake kudanganya kuwa walibakwa ni vizuri ila nimeongea kwa mujibu wa wale wanaume wanaosema kuwa utamjuaje mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi kwa maana kwamba hana alama na mimi sasa imebidi niseme kwamba kama wanadhani ni sifa mwanaume kufanya ngono hovyo kwa kisingizio cha kwamba hawana alama hivyo watadanganya

Basi wakae wakijua kuwa hata wanawake nao wanaweza wakawadanganya vile vile kuwa walipata mimba kwa kubakwa na siyo kwa uzembe wao lakini at the end of the day hoja ni kwamba wanaume wanaozalisha hovyo bila ndoa na wanawake wanaozalishwa hovyo bila ndoa wote wana makosa na wote wanatakiwa kujirekebisha regardless nani anaumia zaidi kila jinsia ibadilike na ijitunze kwa nafasi yake huu unafiki wa kuishambulia jinsia moja na kuipamba jinsia nyingine ni too illogical
Tatizo hakusoma tangu mwanzo.
Atakuwa alidandia point njiani.
 
Umenipa tena maana,si umesema sisi tumecopy toka kwenye Biblia ?

Sasa unatakiwa ukiwa unasomeshwa huko uwe unauliza na maana na asili ya maneno.

Hata tamko "Kanisa" ni tamko la Kiarabu. Unalijua hilo ?
Wewe pekee yako ndio haujui kwamba kiswahili unamaanisha LUGHA ya kiswahili maneno mengi yametoholewa kwenye kiarabu.
Lakini neno "kanisa" kwa kingereza ni "church" au unamaanisha hadi church ni neno la kiarabu? Hivo biblia imechukua maneno ya kiarabu?
Kumbuka biblia ya kiswahili imekuwa translated tuu watu tuelewe na kiswahili kama lugha maneno yake baadhi yametoholewa kwenye kiarabu.
Hivo sioni ajabu.
 
Oohh wow hiyo reliable source yako nimeikubali maana humu JF hakuna mtu nimewahi kumpa namba yangu wala hakuna mtu anayenijua humu so nalazimika kusema kwamba kwanza kabisa you are wrong about me

Pili ni bora ungeisema sababu kubwa ya wewe kuacha kubishana na mimi kuliko huo uongo ambao mtu yeyote anaweza akausema vyovyote atakavyojisikia ni sawa tu na mimi niseme kwamba nimeacha kubishana na wewe kwa sababu nakuona hauna hoja

Kwa mtazamo wangu nitaona niko sahihi ila huo unaweza usiwe uhalisia vivyo hivyo kwa hayo uliyosema kwa mtazamo wako unaweza ukaona uko sahihi lakini huo mtazamo wako unaweza usiwe uhalisia ungesema tu sababu iliyokufanya uache kubishana na mimi halafu hata hivyo humu hatubishani tunaeleweshana

Ila tatizo watu mnataka tukubali kila mnachotuambia yaani tusipinge na tukipinga basi tunaonekana tuna matatizo na hatutaki kuelimishwa anyway siyo kosa lako halafu inaonekana watu wengi humu wanatamani kunijua OMG mimi huwa nadhani tunayoongea humu yanaishia humu kumbe kuna watu wananifuatilia ili wanijue nikoje in real life oohh how I wish I had that much time to waste
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna Muda wa kupoteza eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom