Wapi nimeongelea dhambi? Uko negative ndio maana umejenga picha akili mwako ambayo wala haipo hapa.
Sasa bibie mbona jambo liko wazi sana,kitabu cha nabii Isaya ndio Biblia ?Luke 4:16-18
Mimi sijui asili ya hilo neno na sihitaji kujua.Hicho kiarabu unakijua Wewe bwana.
Nilishakupa maana ya neno kafiri kibiblia.
Kujua neno kafiri ,kanisa Ni la kiarabu au kinyakyusa sio Jambo la kulipa uzito
Wamenileta wenyewe hawa mabinti.Ewe Mtawadhaji umefika na huku pia?
Naendelea hivi hivi,ila una deni.Naona hutaki kunielewa.
Basi endelea kubaki hivyohivyo
Kama Nyenyere kashaelewa basi... He was our target. Ataelimisha wengine.
Nina hakika tumemtoa tongotongo na atakua mtu mwema lakini hasahasa kuheshimu wanawake...kusaidia wasichana walio katika mazingira magumu na kutetea haki zao.
WEKA HAPA.Mimi sijui asili ya hilo neno na sihitaji kujua.
Ninachojua ni maana ya neno hilo
Na pia ninajua kuwa KAFIR wa kwanza duniani ni Mtume Muhammad mwenyewe.
Ukitaka ushahidi wa UKAFIR WAKE nitakuwekea hapa.
Sema suu
Wewe umeenda shule na umesoma bila shaka. Kiswahili umesoma ukaelewa chimbuko la kiswahili.Bibie naongelea Kanisa,siongelei Church jifunze kutofautisha maneno,na uwe makini.
Ndio maana nawashangaa,inakuwake jambo hamlijui lakini mnalizingumzia ?
Mlianza kusema ya kuwa mtume wetu amecopy,nikawa nawaonyesha ya kuwa haja copy,ndio nikawaleta katika asili ya maneno. Biblia yenu ya Kiswahili imechukua maneno mengi ya Kiarabu,na hili ni kwa sababu imetumia Kiswahili.
Sasa mnaposema amecopy wakati maneno mnayotumia ni maneno ya kiarabu,hapa mnaonyesha ni kwa namna gani mnakuruuka na hamjui nini mnachokiandika.
1PETRO 3Labda mungu lakini si Mungu aliyetuumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yesu wangu mimiWewe ni Mlevi Mmoja??
Yaani kama hata haujui kuwa Mungu ndiye aliyemruhusu Shetani aje duniani atujaribu wanadamu basi nina mashaka na ukristo wako na hiyo ni habari nyingine lakini ni maandiko yaliyotoka kwenye biblia hiyo hiyo na nimeyatolea kama mfano kwa sababu naona kutafsiri maandiko kumewashinda sasa sijui mnasubiri hadi msomee theologyYaani Mungu ameruhusu? Duh, basi sawa.
Habari ya mshahara wa dhambi ni mauti ni habari nyingine hiyo. Nafsi itendayo dhambi hakika itakufa, ndivyo maandiko yalivyo. Sisi tunaoishi bado hatujafika mwisho wa mwezi tukapokee huo mshahara, usichanganye mada.
Good, keep learning bruh.Ok, learning is a continuous process
Nilikopa lini?Naendelea hivi hivi,ila una deni.
Hatukutapeliwa, sababu imeelezwa kabisa, nikutokana na udhaifu wao. Ndivyo maandiko yanavyosema.Hivi unadhani mlipoambiwa muishi na wanawake kwa akili mlikuwa mnataniwa eenh?? Anha endeleeni kujifanya vidume mnawajua sana wanawake kuliko aliyewaumba!!
Mtume wenu alikuja baada ya KRISTO.
Kipindi Yesu akiwa anahubiri kwenye masinagogi alitumia biblia kuhubiri. Alitumia pia biblia kudhibitisha kwamba alitabiriwa kuja duniani. Alisoma hilo andiko ndani ya sinagogi.
Unataka udhibitisho gani Tena?
Simama kwenye nafasi yako, umeelewa? Feminism imekupoteza hata huoni
Nimekuambia tangu mwanzo, hii mada si ya mlengo wa imani moja, ni kuhusu maadili kwa ujumla. Mbona unaigeuza?Kwahiyo mwanaume kuzalisha bila ndoa siyo dhambi?? Na kama ni dhambi kwanini hauikemei wakati umesema wewe unakemea dhambi??
Kwahiyo hao wanaume "wanaokidhi kiu ya wakati huo" ndiyo wako sahihi mbona haujibu swali??Mwanamume anayemtoa bikra binti imempasa kumwoa, lakini kinachofanyika unanyofoana vichakani kwa kukidhi kiu ya wakati huo,ikifika wakati akili zimekaa sawa mwanamume hamwoni binti kama chaguo sahihi. Inabaki ni kilio na kusaga meno
Sasa bibie mbona jambo liko wazi sana,kitabu cha nabii Isaya ndio Biblia ?
Je ilianza Biblia au Kitabu cha Isaya ?
Pili,Luka aliwahi kumuona Yesu ?
Nataka ushahidi wa kwamba Yesu alisoma BIBLIA,usiniletee habari za vitabu vingine.