Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Luke 4:16-18
Sasa bibie mbona jambo liko wazi sana,kitabu cha nabii Isaya ndio Biblia ?

Je ilianza Biblia au Kitabu cha Isaya ?

Pili,Luka aliwahi kumuona Yesu ?

Nataka ushahidi wa kwamba Yesu alisoma BIBLIA,usiniletee habari za vitabu vingine.
 
Hicho kiarabu unakijua Wewe bwana.
Nilishakupa maana ya neno kafiri kibiblia.
Kujua neno kafiri ,kanisa Ni la kiarabu au kinyakyusa sio Jambo la kulipa uzito
Mimi sijui asili ya hilo neno na sihitaji kujua.

Ninachojua ni maana ya neno hilo

Na pia ninajua kuwa KAFIR wa kwanza duniani ni Mtume Muhammad mwenyewe.

Ukitaka ushahidi wa UKAFIR WAKE nitakuwekea hapa.

Sema suu
 
Unadhani kaelewa huyo?? Nakupa wiki moja tu anakuja kuanzisha uzi mwingine hapa kuwaponda wanawake yaani kwake yeye wanawake ndiyo wana makosa kwa sababu wao ndiyo wanapata madhara ila wanaume hawana makosa kwa sababu hawapati madhara!!
Kama Nyenyere kashaelewa basi... He was our target. Ataelimisha wengine.

Nina hakika tumemtoa tongotongo na atakua mtu mwema lakini hasahasa kuheshimu wanawake...kusaidia wasichana walio katika mazingira magumu na kutetea haki zao.
 
Mimi sijui asili ya hilo neno na sihitaji kujua.

Ninachojua ni maana ya neno hilo

Na pia ninajua kuwa KAFIR wa kwanza duniani ni Mtume Muhammad mwenyewe.

Ukitaka ushahidi wa UKAFIR WAKE nitakuwekea hapa.

Sema suu
WEKA HAPA.
 
Bibie naongelea Kanisa,siongelei Church jifunze kutofautisha maneno,na uwe makini.

Ndio maana nawashangaa,inakuwake jambo hamlijui lakini mnalizingumzia ?

Mlianza kusema ya kuwa mtume wetu amecopy,nikawa nawaonyesha ya kuwa haja copy,ndio nikawaleta katika asili ya maneno. Biblia yenu ya Kiswahili imechukua maneno mengi ya Kiarabu,na hili ni kwa sababu imetumia Kiswahili.

Sasa mnaposema amecopy wakati maneno mnayotumia ni maneno ya kiarabu,hapa mnaonyesha ni kwa namna gani mnakuruuka na hamjui nini mnachokiandika.
Wewe umeenda shule na umesoma bila shaka. Kiswahili umesoma ukaelewa chimbuko la kiswahili.

Lugha ya kiswahili ilitoholewa kutoka kwenye uarabu makabila na lugha nyinginezo...kwa pamoja ikatengeneza lugha inayoitwa KISWAHILI.

Hivo nikiongea kiswahili nikatamka neno lililotoholewa kwenye uarabu sijaongea kiarabu hapo nimeongea kiswahili.

Na nimesema church kwa sababu hauwezi kusema eti tunatumia kanisa neno ambalo ni la kiarabu ikiwa biblia original haina neno Kanisa.
Hivo hata tukitumia kanisa bado haikupi uhalali kuona ni neno la kiarabu na wakati lugha ya kiswahili inatambua kwamba kanisa ndio church kwa kingereza.

Kasome chimbuko la lugha utaacha kuwaza kiswahili ni kiarabu.
 
Sasa wewe unasema Diamond ambae Tabia yake ya Umalaya inajulikana kila Pande ya dunia...Ingekuwa tunafahamiana tabia kama unavyofahamu tabia ya diamond hakika maisha yangekuwa poa sana.. Nimetoa mfano wa Dada yangu alidanganywa na mwanaume kuwa anatala kumuoa na mipango ya harusi ikapangwa kimsingi Alidanganya familia nzimaa kama sio Ukoo... Sasa wewe hizo story zako za Kusema wanawake wanajitakia Ni ufwalaaa hivi unajua mateso ya Kuwa single Mother??? Wewe mwanaume tu umeshindwa kumlea dogo umemzalisha mwanamke umemkimbia unakuja na excuse za kifala eti ni uzembe wa mwanamke serious????[emoji15][emoji15][emoji15] Alishika dyudyu yako akajiingizia au???[emoji23][emoji23] Acha kuzingua mzee baba... acheni kurubuni watoto wa watu kumbe mnataka kumwaga na kusepa.
Mwana Mtoka Pabaya
 
Labda mungu lakini si Mungu aliyetuumba
1PETRO 3

7 Kadhalika ninyi waume, ishini na wake zenu kwa kuwahurumia, mkitambua ya kuwa wao ni dhaifu na hivyo muwape heshima, kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima. Fanyeni hivyo ili sala zenu zisizuiliwe.
 
Yaani Mungu ameruhusu? Duh, basi sawa.
Habari ya mshahara wa dhambi ni mauti ni habari nyingine hiyo. Nafsi itendayo dhambi hakika itakufa, ndivyo maandiko yalivyo. Sisi tunaoishi bado hatujafika mwisho wa mwezi tukapokee huo mshahara, usichanganye mada.
Yaani kama hata haujui kuwa Mungu ndiye aliyemruhusu Shetani aje duniani atujaribu wanadamu basi nina mashaka na ukristo wako na hiyo ni habari nyingine lakini ni maandiko yaliyotoka kwenye biblia hiyo hiyo na nimeyatolea kama mfano kwa sababu naona kutafsiri maandiko kumewashinda sasa sijui mnasubiri hadi msomee theology
 
Hivi unadhani mlipoambiwa muishi na wanawake kwa akili mlikuwa mnataniwa eenh?? Anha endeleeni kujifanya vidume mnawajua sana wanawake kuliko aliyewaumba!!
Hatukutapeliwa, sababu imeelezwa kabisa, nikutokana na udhaifu wao. Ndivyo maandiko yanavyosema.
 
Huyo Mtume aliyekiri mwenyewe hajui kusoma wala kuandika alikuwa ni mfanyabiashara wa mecca akadanganya eti amedondoshewa Aya za Qur'an kutoka juu.

Na hiyo Qur'an inashangaza kwa yaliyoandikwa humo...!

Mfano inakataza kabisa kula Nguruwe, lakini inasema tena ikiwa umezidiwa na njaa na upo mahali pasipo na chakula basi ni ruksa kula nguruwe ili usife. Hahahaha

Mara inakataza kabisa unywaji pombe kwakuwa ni Haram lakini inaahidi kuwa watakaoingia Peponi watakuta Mvinyo safi itiririkao.

Quran inachekeshaga sana, Mudy na Allah ndio kabisaaa full comedy.


Mtume wenu alikuja baada ya KRISTO.
Kipindi Yesu akiwa anahubiri kwenye masinagogi alitumia biblia kuhubiri. Alitumia pia biblia kudhibitisha kwamba alitabiriwa kuja duniani. Alisoma hilo andiko ndani ya sinagogi.
Unataka udhibitisho gani Tena?
 
Call me what you will, but ninachojua ni kwamba nimesimama kwenye nafasi yangu kama mwanamke sijasimama kwenye nafasi ya mwanaume regardless of what you mean because it's just nonsense.
Simama kwenye nafasi yako, umeelewa? Feminism imekupoteza hata huoni
 
Kwahiyo mwanaume kuzalisha bila ndoa siyo dhambi?? Na kama ni dhambi kwanini hauikemei wakati umesema wewe unakemea dhambi??
Nimekuambia tangu mwanzo, hii mada si ya mlengo wa imani moja, ni kuhusu maadili kwa ujumla. Mbona unaigeuza?
 
Mwanamume anayemtoa bikra binti imempasa kumwoa, lakini kinachofanyika unanyofoana vichakani kwa kukidhi kiu ya wakati huo,ikifika wakati akili zimekaa sawa mwanamume hamwoni binti kama chaguo sahihi. Inabaki ni kilio na kusaga meno
Kwahiyo hao wanaume "wanaokidhi kiu ya wakati huo" ndiyo wako sahihi mbona haujibu swali??
 
Sasa bibie mbona jambo liko wazi sana,kitabu cha nabii Isaya ndio Biblia ?

Je ilianza Biblia au Kitabu cha Isaya ?

Pili,Luka aliwahi kumuona Yesu ?

Nataka ushahidi wa kwamba Yesu alisoma BIBLIA,usiniletee habari za vitabu vingine.


Labda hauijui biblia.
Mjumuiko wa vitabu vyote kwa pamoja ndio inaitwa biblia.
Nikisema nimesoma "kitabu cha mwanzo au kutoka au torati" inamaanisha nimesoma kitabu kilichopo ndani ya biblia nacho ni mwanzo.
Ndani ya biblia kuna vitabu vya Musa hivi vimeandikwa na musa.
Vitabu vya Daniel , isaya nk vimeandikwa na danieli na isaya.
Kitabu cha zaburi , mithali wapo waandishi wake.
Na vitabu vya injili nk.
 
Back
Top Bottom