Tatizo mnaandika mambo ya uongo,sasa mtu anakwambia Yesu alihubiri Biblia kwenye masinagogi wakati Biblia imekuja kuandikwa miaka mingi baada ya Yesu kufa,huyu anakuwa amekusudia kuongopa au hajui anachokiandika.Kwanini unalazimisha mambo zurri.
Ukitaka iandikwe unavyotaka wewe!?
Kwa taarifa yako Biblia Ni mjumuiko wa vitabu
Acha tu halafu mtu simply anakwambia eti "usijilinganishe na mwanaume" yaani kuwaambia ukweli ndiyo kujilinganisha nao?? NonsenseDah ...
Too sad[emoji25]
Wanawake tunapitia mengi.
Usimuulize maana ya Tafsiri bado hajakaririshwa.Kwanza umesoma? Au nawewe hukusoma kama Mtume Wenu?
Biblia ya kwanza iliandikwa Kiyunani, kisha kiebrania, Kilatini...then King James version ya kiingereza na lugha zingine.
Tafsiri zingine ndio za Kiswahili cha Tanzania, Kinyakyusa, kiswahili cha Kenya n.k kama ilivyo tu tafsiri za Qur'an
Unajua maana ya TAFSIRI?
Halafu hapa wanakinzana.Bado na hapo wanajua wakienda mbinguni wanaenda kugegedana na mabikira[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimeshaona hajui hata anachokiandika, bora waje wenzake hapa tukomae.Kwanini unalazimisha mambo zurri.
Ukitaka iandikwe unavyotaka wewe!?
Kwa taarifa yako Biblia Ni mjumuiko wa vitabu
Hata Mimi nashangaaOut of topic
Hivi kiarabu ni uislam?
Jee hamna waarabu wakristo.
Kwahiyo ndio kusema nimefeli vibaya
PoleTatizo mnaandika mambo ya uongo,sasa mtu anakwambia Yesu alihubiri Biblia kwenye masinagogi wakati Biblia imekuja kuandikwa miaka mingi baada ya Yesu kufa,huyu anakuwa amekusudia kuongopa au hajui anachokiandika.
Nachotaka mimi ni nyinyi kuandika ya kweli na mkubali ukweli na mjibu maswali yangu nayo wauliza.
Out of topic
Hivi kiarabu ni uislam?
Jee hamna waarabu wakristo.
Anafikiri kwakuwa ni Muislam basi anajua misamiati yote yeye kuliko Wakristo.Usimuulize maana ya Tafsiri bado hajakaririshwa.
Anavyoongea ni alivyokwisha kariri.
Pole
Na huwa analazimishia Mungu angeandika kama anavyotaka yeyeNimeshaona hajui hata anachokiandika, bora waje wenzake hapa tukomae.
Kama hutaki kuelewa unadhani utajua?Wapo mpaka wapagani,nachotaka toka kwenu mjue mnachokiandika,sasa mnaposema mtume amecopy neno la kiarabu hali ya kuwa neno hilo ni lao,huini kama umeamua kuwa muongo ?
Naomba uwe unajibu maswali yangu nayokuuliza.
Ndivyo Walivyoahidiwa.Kama Ni hivi sawa..maana ningeshangaa Mungu gani wa kuwaahidi bikra 72 peponi[emoji3]
Anataka analotaka yeye liwe hivyo.Anafikiri kwakuwa ni Muislam basi anajua misamiati yote yeye kuliko Wakristo.
Ilikuwa noma sana yani...!! Wanaume ndo chanzo cha yotee hao single mama wapo sababu ya Irresponsible fathers ambao walijua kumwaga tu shahawa na kusepa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mimi mwenyewe mke wangu ningemwacha kipindi kile tumempata Junior angekuwa miongoni mwa Single mothers ambao leo hii ningekuwa mtu wa ajabu kushupaza shingo na kuanza kuwaponda lakini Noo nilikomaa nae kwa tabu na raha mpaka tukaja kutubu mpaka sasa rahaa tupu.
Kama Ni PM nilikwambia nionyeshe,hukuniontesha... unadhani Mimi ningeanza kukubembeleza kwamba zurri nionyeshe Basi.Kuna maswali yangu mengi naona hamyajibu,na hili ndio deni langu kwenu.
Nakufundisha sasa,tamko TAFSIRI ni tamko lenye asili ya kiarabu,lenye maana ya kufafanua jambo kwa undani katika lugha husika,mfank wa maneno yenye maana sawa na Tafsiri ni "SHEREHE" na "HAASHIYA".Usimuulize maana ya Tafsiri bado hajakaririshwa.
Anavyoongea ni alivyokwisha kariri.
Asante MkuuHii ni mathayo 19:9View attachment 1204164
Unajadili vipi Elimu ilihali mlishaikataa Elimu kuanzia na Mtume wenu?Nilijua huna hoja,sasa nakuuliza swali je wapi katika Uislamu umekataza kumuoa binti wa miaka 9 ?
Na kama lingekuwa kosa,Allah angemkemea sasa ni wapi katika Qur'aan alikemewa juu ya Kumuoa mama Aisha ?
Kubaka maana ake nini ? Je wanandoa wanabakana ? Je kwa mujibu wa sheria zenu wanandoa wakibakana wanapewa adhabu gani ?
Unatakiwa uwe serious na uache utoto,hapa tunajadili mambo ya kielimu.