URL unfurl="true"]https://r.tapatalk.com/shareLink/topic?url=https://www.jamiiforums.com/threads...share_tid=1621601&share_fid=8678&share_type=t[/URL]Ulete na zenu mnaojiuna "miungu watu".
Sio unaegemea upande mmoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee jamaa bhana point ni kuwaa... Uasherati na uzinzi sio DHAMBI??????????Uzinzi na uasherati ni misamiati isiyo na dini. Ni kiswahili sanifu hicho
Mnyanzi mungu.Hahahaha...hilo swali si la kitoto Sheikh
Yaani Mola akataza Pombe kwakuwa ni HARAM...lakini kule Peponi ni HALAL
Ni Mola gani kilaza namna hiyo?
IUnaona akili zenu zilivyo ndogo...!
Yaani kubaka ni mpaka uambiwe kuwa hapa umebaka?
Mtu mzima kumlala mtoto mdogo wa miaka 9 ni kosa lililo wazi ambalo kwa mwenye akili hasubiri kuhabarishwa kuwa hilo ni kosa...labda Mtume Wenu tu.
Mbona sasahivi hamuwaoi watoto wa miaka hiyo?
Aya za mwanzo kushuka mtume aliambiwa asome mzee,ndio maana tunasoma mpaka pumzi yetu ya mwisho.
Nipe ushahidi wapi alimbaka kisha ndio akaja kumuoa ? Maana naona unazidi kujichanganya.
Nilikwambia huko mwanzo ya kuwa hakukatazwa jambo hilo ndio maana alioa. Sasa unapouliza swali la kitoto naona kama umeamua kupoteza muda wakati jibu liko wazi.
Ipo wapi.?Hiuyo hapoo soma
Sasa kwanini mlalamike kuombwa ?Kwahiyo wanaume wanaoomba siyo mazwazwa?? Yaani maandiko yanakataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote lakini eti mwanaume akiomba kwa lengo hilo ni sawa ila mwanamke akikubali kwa lengo hilo hilo ni kosa si ndiyo??
Binti wa miaka tisa hawezi kuwa amebaleghe ?Huyo Allah ambaye hakumkataza hilo jambo basi ni Kilaza kuliko Mudy wa Mecca.
Ndio maana pia akaahidi ujinga mwingine kule Akhera
Anasema Allah aliye juu :
1. Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu.
2. Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri?
3. Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
4. Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.
5. Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri. (al Qadr : 1 - 5)
Amecopy akapata kitu cha kuandika kwenye Qur'an yenu.Ndio hivyo,kuwapo sio kwamba wao wanatumia,ndio maana nimekwambia hili ni tamko maalumu na ni tamko la kisheria.
Nikawauliza lilitumika wapi ? Ukasema mtume amecopy kutoka kwenye Biblia,nikauliza amecopy vipi ? Mpaka muda huu hamjajibu swali hilo.
Niaendelea kwa kusema hivi vipi acopy tamko ambalo ni lao kiasili ? Na lugha ya Biblia ya asili inajulikana sio Kiarabu ?
Bibie nimekuuliza swali hili mara kibao,onyesha ilichakachuliwaje ? Sasa ukisema tu bila kuweka ushahidi wewe ni muongo. Sasa nakupa miaka kumi ulete ushahidi kwamba Qur'aan imechakachuliwa toka kwenye Biblia.
Huyo ni Mola pekee,na Mola yuko juu ya mbingu ya saba. Huyo roho hapo n Malaika Jibril."Hakika sisi tumeiteremsha Qur'an"
Haya maneno ndio ameyasema Allah ? Na hiyo "sisi" ni wakina nani?
Bado sijaona neno kutoka mbinguni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani inataka moyo sana ndugu yangu!!
I
Nani amekwambia haoi ?
Pili,kutokuoa hakumaanishi kwamba jambo hilo baya mzee,ni maamuzi tu.
Suala la kubalehe unalileta wewe, Mimi sijaliongelea....!Binti wa miaka tisa hawezi kuwa amebaleghe ?
Naona umeishiwa hoja sasa,unaleta lugha za kihuni.
"Sisi" ni mtu zaidi ya mmoja.Huyo ni Mola pekee,na Mola yuko juu ya mbingu ya saba. Huyo roho hapo n Malaika Jibril.
Huo ni ufasaha wa lugha tu.
Na jambo la wingi kuwakilisha umoja tumeshalijadili sana humu.
Ukiona kama kuna swali lako sijalijibu nistue,maana naona "Notifications" nyingi sana.
Hiyo inawahusu wamama pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti waliona hauelewi wakakuacha what a stressfree replyUnapoongea na mimi usianze kunifananisha na watu uliowahi kuongea nao.
Umeona Sasa uanze kunitishia kwa kuniambia walikukimbia...
Waliona huelewi wakakuacha.
I
Nani amekwambia haoi ?
Pili,kutokuoa hakumaanishi kwamba jambo hilo baya mzee,ni maamuzi tu.
Tatizo hakusoma tangu mwanzo.
Atakuwa alidandia point njiani.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]sina kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna Musa wa kupoteza eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]