Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Nanukuu hapo "mkitambua ya kwamba wao ni dhaifu" amewaambia ninyi ndiyo mtambue hivyo lakini yeye Mungu hatambui hivyo sasa kama wewe unadhani upeo wako wa kufikiri uko kama wa Mungu basi una tatizo mahali na unahitaji msaada

Halafu kumbe unajua kuwa mmeambiwa muishi na wake zenu kwa kuwahurumia sasa hiyo huruma mbona hamna matokeo yake mnasababisha single mothers halafu lawama mnawatupia wao maana mngekuwa na huruma msingekuwa mnazalisha na kuacha halafu kwa ujasiri mnakuja kusema kabisa eti "mwanamke asijilinganishe na mwanaume kwa sababu yeye ndiye anayeumia zaidi"
1PETRO 3

7 Kadhalika ninyi waume, ishini na wake zenu kwa kuwahurumia, mkitambua ya kuwa wao ni dhaifu na hivyo muwape heshima, kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima. Fanyeni hivyo ili sala zenu zisizuiliwe.
 
Bado haujanishawishi. MUNGU mmoja je "sisi " inatoka wapi? Msikaririshwe.
Bado hujapinga maelezo yangu.

Pili,kuna maandiko yanaonyesha umoja wa Mola,ukija ku "reconcile" maandiko unapata maana moja. Hapo ndipo inakuja ile maana ya lugha ya kuonyesha hadhi ya mtindo wa lugha uliotumika.

Kwenye Qur'aan uwasilishaji huo umetumika sana,na hauonyeshi ya kuwa Mola wako wengi.

Pili,kukushawishi sio lengo bibie,lengo ni mimi kukueleza wewe ukweli tu,kwahiyo ji juu yako kuukubali au kuukataa.
 
Ndio utuonyeshe sasa hao wengine wako wapi.

Unatakiwa ujifunza kuandika vitu huku unatoa marejeo.
Unajua zurri usijitoe akili.
Sasa hao wengine nikuoneshe vipi?
Nikisema "sisi tunakusubiri" hapo najiongelea mimi tuu? Maana yake ni kwamba ni Mimi na watu wengine kwa pamoja tunakusubiri.
Ndio maana nasema umekariri.
Usidai ushahidi kwa kila kitu ambavyo vipo wazi.
 
Na kwenye kufuatilia taarifa za mtu , mtu anaweza akajitungia tuu na wewe ukaona umewin kupata taarifa zake.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nikisema "sisi tunakusubiri" hapo najiongelea mimi tuu? Maana yake ni kwamba ni Mimi na watu wengine kwa pamoja tunakusubiri.
Huu mfano si mahala pake,sababu hauonyeshi hadhi au kujiweka juu,hiyo unatoa taarifa tu,kwahiyo lazima muwepo wengi.

Uwasilishaji ule ni maalumj,na unanyesha hadhi na ukubwa,ndio ule mfano wa andiko lenu ambalo huwa mnalinukuu sana "na tumfanye mtu kwa mfano wetu".

Kauli hiyo nyinyi ndio mnaona ni ushahidi wa kuonyesha kuna mungu watatu katika nafsi moja au kama mnavyodai. Ila ukweli hapo kauli hiyo imeonyesha hadhi na ukubwa wa Mola muumba.
 
Uzi gani huo uliowaambia ukweli wanaume tu mbona sijawahi kuuona?? Hebu siku anzisha uzi unaokemea maovu ya wote wanaume na wanawake bila ubaguzi halafu tuone kama kuna atakayekupinga yaani atakayekupinga mimi nitakula naye sahani moja[emoji16][emoji16]
 
Sasa nyie karirini tuu kiarabu. Mmeshaambiwa "sisi" unalazimisha iwe ni umoja wakati umeiandika kwa kiswahili.
Labda sisi inamaanisha mud na washkaji zake.
 
Sasa nyie karirini tuu kiarabu. Mmeshaambiwa "sisi" unalazimisha iwe ni umoja wakati umeiandika kwa kiswahili.
Labda sisi inamaanisha mud na washkaji zake.
Maarifa ya lugha muhimu sana kuyajua. Hakuna aliyekariri hapa zaidi ya kuelewa maandiko.

Bibie nakudai.
 
Poor mind, your level of stupidity has rendered me speechless.
Nisipokubali mahubiri yako ninakuwa STUPID, eti? Naona umepanic sasa. Labda tu nikukumbushe kuwa mimi ni mwanaume na sijawahi kutelekeza mtoto, sasa jiulize ulikosea wapi mpaka ukawa singo maza kuliko kuja kutukana watu mitandaoni...unaheeeema!
 
Umeona eenh?? Kuna muda unamuona kabisa kaelewa ulichomuambia ila baadaye anarudia kile kile ulichotoka kumkataza yaani mtu anayekuja kuanza kuusoma huu uzi leo akisoma comment moja baada ya nyingine ataona comments nyingi zinaongelea kitu kile kile na ataona kama tulikuwa tunapoteza muda tu kwa sababu ya huyu jamaa yaani anaturudisha nyuma sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me tunakubaliana akitoka akirudi ananiquote tena anagomaa... Sijui akitoka anaenda kupigwa shule hukoo asikubalii anarudi tena...Nahisi bhangi inahusika pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…