Sasa ulirudi ukaitafuta hiyo post ? Kisha ukawa hujaiona ?Mbona nilikuuliza Ni yapi hukuniontesha Tena.
Ukasingizia tu post hazina namba...nikakwambia tafuta unionyeshe,,haukunionesha..
Unadhani Mimi nitaota na kukisia maswali uliyoyauliza !??
Ntakujibu vipi maswali bila kuyaona hayo maswali!?
Mbona unaongea mengine ambayo sijakuuliza Zurri.Alimuoa kwa ndoa ya halali kabisa.
Ndio maana hakuna anaeweza kuonyesha mtume alibaka,nawapa miaka mia mlete ushahidi kwamba mtime alibaka.
Kichwa chako KITUPU sana. Kuna sehemu hapo nimesema kuwa anavyofanya ni sahihi? Sijui umelelewa namna gani! Hapo namaanisha kuwa huyo mtu si mfano mzuri, kwa hiyo ni jukumu lako kumuepuka. Au ulitakaje, nikamchape?Kwahiyo Diamond kuwa vile alivyo ni sawa ila hao wanawake kuwa vile walivyo ndiyo siyo sawa?? Yaani unachojaribu kusema ni kwamba wanaume kukataa watoto wao ni haki yao na hawatakiwi kukemewa ila wanawake kuachwa na watoto ndiyo wanakosea wanatakiwa kukemewa??
Nimekumbuka ile thread ya kipindi kile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eenh?? Kuna muda unamuona kabisa kaelewa ulichomuambia ila baadaye anarudia kile kile ulichotoka kumkataza yaani mtu anayekuja kuanza kuusoma huu uzi leo akisoma comment moja baada ya nyingine ataona comments nyingi zinaongelea kitu kile kile na ataona kama tulikuwa tunapoteza muda tu kwa sababu ya huyu jamaa yaani anaturudisha nyuma sana!!
Huu mfano si mahala pake,sababu hauonyeshi hadhi au kujiweka juu,hiyo unatoa taarifa tu,kwahiyo lazima muwepo wengi.
Uwasilishaji ule ni maalumj,na unanyesha hadhi na ukubwa,ndio ule mfano wa andiko lenu ambalo huwa mnalinukuu sana "na tumfanye mtu kwa mfano wetu".
Kauli hiyo nyinyi ndio mnaona ni ushahidi wa kuonyesha kuna mungu watatu katika nafsi moja au kama mnavyodai. Ila ukweli hapo kauli hiyo imeonyesha hadhi na ukubwa wa Mola muumba.
Sasa hizo akili za chini kwanza hazipo,mkiambiwa mazwazwa mnalia lia,kuna akili za chini tangu lini ? Hasemi maneno haya isipokuwa mtu asie jua akili ni nini ?!Kabisa
Kama huyu Zurri ndio kabisa anazitumia hizo[emoji3][emoji3][emoji3]
NDIONdicho ulichoelewa kwenye hiyo commemt nzima na ndipo upeo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ulipoishia, pitty.
Umenitukania umetuliza.Hoja ya kijinga kabisa hii. Kuwa na mtoto anayetumia madawa ya kulevya sio sababu ya kukaa kimya kulinda staha. Ni ujinga uliopitiloza. Habari ya baba yangu kuiingiza humu ni dalili ya wewe kuwa uliyeharibika akili, hufai hata kuwa baba wa familia.
Hapa hatupaki mafuta kwa mgongo wa chupa, ni ukweli mtimilifu, no matter what! Kama umeumia kaa kimya, nina uhakika wako vijana wawili ama watatu watajifunza neno hapa.
Yaani Mimi ndio nitafute maswali uliyouliza!?.Sasa ulirudi ukaitafuta hiyo post ? Kisha ukawa hujaiona ?
Nilikwambia kwamba sioni namba ya post PM,kumaanisha kwamba ukitakiwa hujiongeze uitafute kisha ujibu maswali,lakini hujafanha hivyo.
Unanikosea adabu ujue hebu nitake radhi"lamba lolo" ndio nini ?
Naomba niwe kibenten wako ?!!
Yeye anasema 'sisi' Ni" Mimi".Kauli hiyo kwetu imeonesha utatu mtakatifu. Na HUO NDIO UKWELI.
Mungu baba.
Mungu mwana= Yesu
Mungu roho mtakatifu.
Hapo Mungu alikuwa anapanga plan zake na roho zake.
Sasa na huko kwenye uislam hiyo " sisi" ni wakina nani? Ni utatu mtakatifu ambao hamtaki kuuamini au?
Sikumbuki alikuwa na miaka mingapi ila alikuwa na miaka mingi kumzidi mama Aisha.Mbona unaongea mengine ambayo sijakuuliza Zurri.
Mtume yeye alikuwa na miaka mingapi kipindi hicho?
Unanikosea adabu ujue hebu nitake radhi
Kutuvulia chupi nje ya utaratibu.
Kwani huwa mnalazimishwa ?
Anataka tule matango pori yake hapaEmbu Leo muache apambane na wababe wenzie.
Anadhani Hawa Ni wazembe Kama sisi ..alivyokuwa anatuambia tumfanye Ni nafsi ya kwanza umoja na anataka tumkubalie
Nani wa kwanza kusema mambo ya utatu mtakatifu ?Kauli hiyo kwetu imeonesha utatu mtakatifu. Na HUO NDIO UKWELI.
Ule ulikuwa ni mjadala,na wewe ulikuwa hadhiri kwahiyo ulitakiwa uwe makini na mjadala. Huo ni uzembe wako,na hukutakiwa kuja kulalamika hapa.Yaani Mimi ndio nitafute maswali uliyouliza!?.
Zurri uko serious kweli!??
Uliona wapi hiyo???
Hata shuleni huwa mwalimu anatunga maswali anatuletea darasani tufanye...ulishawahi ona wapi mtihani unaenda kufwatwa na mwanafunzi ili aufanye!???
Single mothers wanazaa na kina nani?? Unaona jinsi unavyoturudisha nyuma eenh??Mada ni single mother sio nje ya hap9
Nataka unipe maelezo hayo kutoka kwa Yesu kwamba Yesu amesema hivyo kwamba kuna mungu mwana,kuna mungu roho.Sasa na huko kwenye uislam hiyo " sisi" ni wakina nani? Ni utatu mtakatifu ambao hamtaki kuuamini au?
Ni hiari yetu.Na ninyi kwani nani anawaambia muombe??
Aliyelalamika Nani Kama sio wewe.Nani wa kwanza kusema mambo ya utatu mtakatifu ?
Ule ulikuwa ni mjadala,na wewe ulikuwa hadhiri kwahiyo ulitakiwa uwe makini na mjadala. Huo ni uzembe wako,na hukutakiwa kuja kulalamika hapa.