Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
KumbeHii mada mbona niko nashiriki mjada wake huko jukwaa la siasa tangu jana angalia my last post kabla ya hii.
Natamani kukuoaSawa nimeshaona
Diwani Msuya ni kada wa chama cha mapinduzi na hana sifa ya kuwa kiongozi wa taasisi nyeti na kubwa ambayo inahitaji mtu mwenye political neutrality kama TISS.Bora umebadilisha mada maana..watu wanatoana jasho bila sababu humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.mwishowe kina Lizarazu wanaongea Hadi visukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kolo boy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haijalishi mwanangu atakuwaje.. ila ukwel umesemwaPambafff kwani huwa wanazini na miti ama na wanaume? Una hakika gani kwamba baba yako alimuoa mama yako akiwa bikra? Muwe na staha basi wakati mwingine maana kuna leo na kesho binti yako anadungwa mimba na utageuka mshenga ili aolewe kulinda heshima ya familia!
Ulivyo hivyo si utanipa Sana magumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Welcm too ma hood
Single mother is a sign of lack of self control, maturity, self acceptance etc. It is a bad signal kwa tabia ya mhusika
Uko mpole kweli? Kama jibu ni ndiyo sema nianze mchakato nikulete huku Koromije kwenye majaruba ya mpunga na mashamba ya nyanya [emoji16][emoji16]Ulivyo hivyo si utanipa Sana magumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na nilivyo mpole...Haki ya Nani utanionea
Hili hata mimi huwa nalikataa. Afisa wa TISS aliyefunzwa kuua kwa njia mbalimbali hawezi kumimina risasi zote hizo halafu ashindwe kuua. Naamini hii ni kazi ya amateurs tu wa kuokotwa huko mitaani na inaweza hata ikawa ni migongano ya kibinafsi tu, visasi na hata kiki na kujiongezea mitaji ya kisiasa.Mna vithibitisho gani vinavyoonyesha TL alishambuliwa na tiss?
Nyie mlivyokuwa wababe hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]Uko mpole kweli? Kama jibu ni ndiyo sema nianze mchakato nikulete huku Koromije kwenye majaruba ya mpunga na mashamba ya nyanya [emoji16][emoji16]
Uneona eeh...Hili hata mimi huwa nalikataa. Afisa wa TISS aliyefunzwa kuua kwa njia mbalimbali hawezi kumimina risasi zote hizo halafu ashindwe kuua. Naamini hii ni kazi ya amateurs tu wa kuokotwa huko mitaani na inaweza hata ikawa ni migongano ya kibinafsi tu, visasi na hata kiki na kujiongezea mitaji ya kisiasa.
Kama kweli ni mambo ya TISS hii basi tutakuwa na TISS ya hovyo kabisa na maafisa wake inabidi warudi mafunzoni upya. Kama hawawezi kuua mtu seating duck mchana kweupe asiye na silaha afadhali tu waache kazi waje huku Kolomije tulime mpunga [emoji16][emoji16]
Hapana. Wanaume wa Kisukuma hatujulikani kwa ubabe labda ungesema ushamba (japo napo kuna utata). Sisi tunajulikana pia kwa upendo, kujali familia, uchapa kazi na upole. Na kwenye mapenzi tuko vizuri sana. Hata Kolo boy wako huyu naamini ni swaga za mtandaoni tu lakini in real life usishangae kumkuta ni mpole, humble na mwanaume bora kabisa. Usituogope [emoji1545][emoji1545]Nyie mlivyokuwa wababe hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkiongozwa na kolo boy Lizarazu[emoji23][emoji23].
Mtanionea Sana Aiseee...maana Mimi sitaki magumi...napenda kubembelezwa tu...sasa nyie hata kubembeleza hamjui
Hapa kwenye upole mmejisingizia[emoji14][emoji14][emoji14]Hapana. Wanaume wa Kisukuma hatujulikani kwa ubabe labda ungesema ushamba (japo napo kuna utata). Sisi tunajulikana pia kwa upendo, kujali familia, uchapa kazi na upole. Na kwenye mapenzi tuko vizuri sana. Hata Kolo boy wako huyu naamini ni swaga za mtandaoni tu lakini in real life usishangae kumkuta ni mpole, humble na mwanaume bora kabisa. Usituogope [emoji1545][emoji1545]
Ngoja nijisemee mwenyewe. Mimi ni mpole sana [emoji16][emoji16][emoji16]Hapa kwenye upole mmejisingizia[emoji14][emoji14][emoji14]
Hii sifa sio yenu...
Eti Lizarazu nyie Ni wapole!???
Bora ujisemee wewe[emoji3][emoji3]Ngoja nijisemee mwenyewe. Mimi ni mpole sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa siuje kwangu uhakikishe kuwa wanaume wa Kisukuma wapole wapo? Unakwama wapi sasa?Bora ujisemee wewe[emoji3][emoji3]
Japo sijawahi ona msukuma mpole...ila kwa uchapakazi nawapa heko[emoji122] mkiongozwa na jembe lenu toka chattle[emoji14][emoji14] anko magu
Lizarazu