Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Bora umebadilisha mada maana..watu wanatoana jasho bila sababu humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.mwishowe kina Lizarazu wanaongea Hadi visukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Diwani Msuya ni kada wa chama cha mapinduzi na hana sifa ya kuwa kiongozi wa taasisi nyeti na kubwa ambayo inahitaji mtu mwenye political neutrality kama TISS.

Taasisi zote duniani zinazohusika na usalama wa taifa hazitakiwi na chembe chembe zozote za mfungamano wa kisiasa, maana zina jukumu la kufanya uchunguzi mpaka kwenye hivyo vyama vya siasa.

Unapomteua mtu ambaye ni mwanachama wa chama fulani cha siasa ndio awe kiongozi wa taasisi kubwa kama TISS siku litokea tatizo litakalopelekea ulazima wa kufanyika uchunguzi kwa kiongozi fulani wa chama hicho cha siasa na uchunguzi huo wa kuufanya ni TISS, basi kuna uwezekano mkubwa sana TISS ikawa biased kwenye uchunguzi huo maana tayari inaongozwa na mwanachama wa chama hicho ambacho kiongozi wake anachunguzwa.

Navyofahamu mimi hii taasisi nyeti inatakiwa kuwa huru na wanaoiongoza wawe huru yaani wasiwe na mafungamano yoyote ya kisiasa, hata George H.W.George(senior Bush) kabla hajawa raisi alipokua ni mkurugenzi wa CIA alijweka mbali na siasa ili kumaintain political neutrality.

Sasa nashangaa hapa kwetu hii taasisi imejazwa na makada, bivi tukisema hii TISS ni tawi la ccm tunakuwa tunakosea?

Tukisema TISS ndio inauhusika kwa 100% na shambulio la T. LISSU tunakuwa tunakosea!? Maana Lissu amekuwa na tofauti za kisiasa kwa kipindi kirefu sana na CCM sasa kwanini tusiamini kuwa ccm wametumia nyenzo zao ikiwemo hii TISS kupambana na Lissu!?

Wewe unalionaje hili?
 
Nyenyere,
tatizo vijana mnajifanya wajuaji, kwa taarifa zako hayo yote uliyoyaandika ni too theoretical na hayana uhalisia wowote. Ndoa ni taasisi ambayo huwezi kuielewa kirahisi hata kidogo na linapofika suala la kuoa unaweza kujikuta yule uliyemdharau ndo anakuwa chaguo lako na mnaishi maisha mazuri. Single mother ni mwanamke sawa wanawake wengine na anaweza kuwa mke mwema kuliko hata hao unaowapigia debe. Vijana acheni kuishi kwa kukariri maisha ya ndoa hayako hivyo hata kidogo.
 
Pambafff kwani huwa wanazini na miti ama na wanaume? Una hakika gani kwamba baba yako alimuoa mama yako akiwa bikra? Muwe na staha basi wakati mwingine maana kuna leo na kesho binti yako anadungwa mimba na utageuka mshenga ili aolewe kulinda heshima ya familia!
Haijalishi mwanangu atakuwaje.. ila ukwel umesemwa
 
Single mother is a sign of lack of self control, maturity, self acceptance etc. It is a bad signal kwa tabia ya mhusika

is how you see it..

self acceptance-is to accept to love and give life to this innocent kid.

Maturity is to accept and be ready to face responsibilities

Mkuu kwani wewe tangia uanze love life umekutana na bikira watupu??if you can accept people do have sex,why cant you accept children are consequences of that?? im interested to know how your relationships are like??just share may be we will understand you. I got feeling you don't have any girlfriend and you are bitter..lol…nyie ndio mnafanya wanawake wafe kwenye unsafe abortion,wakati MAMA ZENU WAMEWAPA CHANCE YA 'UHAI' KUISHI HAPA DUNIANI...

lack of self control..kama unataka kuface hili tatizo sio unaanzia kwenye matawi..Anzia kwenye shina,you will realize,poor sex education,poverty,lack of good parenting makes people make irrational decisions..
 
Ulivyo hivyo si utanipa Sana magumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na nilivyo mpole...Haki ya Nani utanionea
Uko mpole kweli? Kama jibu ni ndiyo sema nianze mchakato nikulete huku Koromije kwenye majaruba ya mpunga na mashamba ya nyanya [emoji16][emoji16]
 
Mna vithibitisho gani vinavyoonyesha TL alishambuliwa na tiss?
Hili hata mimi huwa nalikataa. Afisa wa TISS aliyefunzwa kuua kwa njia mbalimbali hawezi kumimina risasi zote hizo halafu ashindwe kuua. Naamini hii ni kazi ya amateurs tu wa kuokotwa huko mitaani na inaweza hata ikawa ni migongano ya kibinafsi tu, visasi na hata kiki na kujiongezea mitaji ya kisiasa.

Kama kweli ni mambo ya TISS hii basi tutakuwa na TISS ya hovyo kabisa na maafisa wake inabidi warudi mafunzoni upya. Kama hawawezi kuua mtu seating duck mchana kweupe asiye na silaha afadhali tu waache kazi waje huku Kolomije tulime mpunga [emoji16][emoji16]
 
Uko mpole kweli? Kama jibu ni ndiyo sema nianze mchakato nikulete huku Koromije kwenye majaruba ya mpunga na mashamba ya nyanya [emoji16][emoji16]
Nyie mlivyokuwa wababe hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkiongozwa na kolo boy Lizarazu[emoji23][emoji23].
Mtanionea Sana Aiseee...maana Mimi sitaki magumi...napenda kubembelezwa tu...sasa nyie hata kubembeleza hamjui
 
Hili hata mimi huwa nalikataa. Afisa wa TISS aliyefunzwa kuua kwa njia mbalimbali hawezi kumimina risasi zote hizo halafu ashindwe kuua. Naamini hii ni kazi ya amateurs tu wa kuokotwa huko mitaani na inaweza hata ikawa ni migongano ya kibinafsi tu, visasi na hata kiki na kujiongezea mitaji ya kisiasa.

Kama kweli ni mambo ya TISS hii basi tutakuwa na TISS ya hovyo kabisa na maafisa wake inabidi warudi mafunzoni upya. Kama hawawezi kuua mtu seating duck mchana kweupe asiye na silaha afadhali tu waache kazi waje huku Kolomije tulime mpunga [emoji16][emoji16]
Uneona eeh...
Kwanza JPM mimi naona Kama wanamuonea...Hadi Sasa sijaona mpinzani wa kunkosesha usingizi Hadi afikie hatua ya kumuua...
Watakuwa wamejikanganya wenyewe huko wao kwa wao halafu wanakuja kusingizia tiss.
Lizarazu
 
Nyie mlivyokuwa wababe hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkiongozwa na kolo boy Lizarazu[emoji23][emoji23].
Mtanionea Sana Aiseee...maana Mimi sitaki magumi...napenda kubembelezwa tu...sasa nyie hata kubembeleza hamjui
Hapana. Wanaume wa Kisukuma hatujulikani kwa ubabe labda ungesema ushamba (japo napo kuna utata). Sisi tunajulikana pia kwa upendo, kujali familia, uchapa kazi na upole. Na kwenye mapenzi tuko vizuri sana. Hata Kolo boy wako huyu naamini ni swaga za mtandaoni tu lakini in real life usishangae kumkuta ni mpole, humble na mwanaume bora kabisa. Usituogope [emoji1545][emoji1545]
 
Hapa kwenye upole mmejisingizia[emoji14][emoji14][emoji14]
Hii sifa sio yenu...
Eti Lizarazu nyie Ni wapole!???
 
Nilikutana na single mother mmoja alikua na bikra yake kabisa

Kumbe jamaa aliemtia aliingiza kichwa tu ikagoma kuenda mshkaji akamwaga apoapo mtoto wawatu akapata na mimba

Jamaa akamtema baada yakuambiwa amempa mimba

Ila from there akuna mtu mwngne alietoka nae zaid ya mme wake wa sasa na mimi mjumbe
 
Back
Top Bottom