Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hawapo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa siuje kwangu uhakikishe kuwa wanaume wa Kisukuma wapole wapo? Unakwama wapi sasa?
Umezaa na vipuuz wewe..au sijui ndo wanakutegemea so unatake advantage, zaa namm uone ka uyo mwanao ajakuitia mwizi njiani mkikutana, mimi ndo nalea mimi ndo najua nn cha kujaza kwenye ubongo wa mwanangu, na si unajua vile mtoto akikariri kitu hahahaaa.Ni kweli kabisa mi nimezalisha watatu na nshaachana nao
Na siku yoyote nkiamua natafuna yeyote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unavyonipiga chenga hapa Pèle hakufikii wallahi ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi napenda watu wakali..ila sio ukali Kama wa Lizarazu
Wasukuma mna matatizo[emoji23][emoji23][emoji23].Unavyonipiga chenga hapa Pèle hakufikii wallahi ....
View attachment 1206428
Si kweli, ukichezea ujana utalipa gharama kubwa.Unaejitambua wewe...!! Me naoan single mother watengwr na jamii kabisaa... Unaonaje??[emoji23]
Basi sawa. Ila unaongea na mtu mzima na sio kijanatatizo vijana mnajifanya wajuaji, kwa taarifa zako hayo yote uliyoyaandika ni too theoretical na hayana uhalisia wowote. Ndoa ni taasisi ambayo huwezi kuielewa kirahisi hata kidogo na linapofika suala la kuoa unaweza kujikuta yule uliyemdharau ndo anakuwa chaguo lako na mnaishi maisha mazuri. Single mother ni mwanamke sawa wanawake wengine na anaweza kuwa mke mwema kuliko hata hao unaowapigia debe. Vijana acheni kuishi kwa kukariri maisha ya ndoa hayako hivyo hata kidogo.
Wasukuma mna matatizo[emoji23][emoji23][emoji23].
Hvi na kile kiswahili chenu Cha mkandamizo[emoji14][emoji14]mnabembelezeaga kilekile!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bora Lizarazu kidogo lugha nyingine ya kwa Trump inapandapanda[emoji87][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonekana umekufa kwa Kolo Boy huyo. Si kwa kumtag huko aisee. Ila ukikwama huko nipo ila tu mimi KiTrump hakipandi kabisa. Nilikazania zaidi kuchunga mang'ombe mashule sikwenda. Matokeo yake ndo haya leo nadharaulika hapa. Ila hakuna noma yote maisha tu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1206446
#Njootulemaisha
#AchananaLizarazu
[emoji16][emoji16][emoji16]
Nina ng'ombe 70. Njooni mchukue wote [emoji7][emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu atakufundisha..
Una ng'ombe wangapi kwanza!!?
Nyumbani kwetu utaleta wangapi!???
Inatakiwa ujipange...Maana wamenilea nikaleeka mtoto[emoji3526][emoji3526][emoji847]
Wewe si ndio unaleta nyumbani auNina ng'ombe 70. Njooni mchukue wote [emoji7][emoji7][emoji7]
Hapana. Mnakuja kuchukua nyie tukishaelewana bei na wazee wako. We nikubalie tu. Masuala yote ya kiitifaki za kimila nitayashughulikia...Wewe si ndio unaleta nyumbani au
Lizarazu atakuwa mshenga wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hapana. Mnakuja kuchukua nyie tukishaelewana bei na wazee wako. We nikubalie tu. Masuala yote ya kiitifaki za kimila nitayashughulikia...
Lizarazu yuko wapi? Nakaribia kupindua serikali huku ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kabila gani hilo?Lizarazu atakuwa mshenga wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sisi Mila zetu mwanaume ndiye analeta mahari nyumbani...Wala SI wazazi wanaofwata.
Kabila moja lipo greencity huku[emoji7][emoji7][emoji7].Kabila gani hilo?
Lizarazu awe mshenga wangu. Thubutuuu... Atakuja kunipindua tu na utombina tombina wake [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kwa hiyo umenikubalia ama?
Watani zetu nyie halafu. Halafu mna kitu fulani hivi nikipendacho sana (angalia link hapa chini). This is excellent [emoji122][emoji122][emoji16]Kabila moja lipo greencity huku[emoji7][emoji7][emoji7].
Lizarazu hawezi kukupindua...Ni Kaka yangu huyo[emoji3526][emoji3526].
Na utombina wake[emoji2960]
Ila jipange tu vizuri Maana wazazi macho yote yapo kwangu[emoji847][emoji847][emoji847][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
mazingira ya tukio zima na mwenendo mzima wa ufuatilaji wa tukio hilo mpaka leo hivi tunavyoandika ni ushaidi tosha kabisa kuwa serikali ina mkono wake kwenye shambulio la Lissu sasa hatujui ni watu gani iliyowatumia Lakin kwa fikra za haraka haraka tu ilitumia vyombo vyake vya ulinzi/usalama kama hao TISS.Mna vithibitisho gani vinavyoonyesha TL alishambuliwa na tiss?
Hata mimi ni mpole sana hujui tu.Ulivyo hivyo si utanipa Sana magumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na nilivyo mpole...Haki ya Nani utanionea
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mimi ni mpole sana hujui tu.
Mimi sio wa Hilo kabila lenye hivyo vitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watani zetu nyie halafu. Halafu mna kitu fulani hivi nikipendacho sana (angalia link hapa chini). This is excellent [emoji122][emoji122][emoji16]
Kuhusu kujipanga usiwe na shaka. Niko vizuri sana. Wazazi kamwe hawatakuwa disapointedi [emoji16][emoji16][emoji16]
Swali: Kwanini wanawake wa mkoa wa mbeya wana'makalio mazuri?
Jina: KIPEPE a.k.a Full package Kazi: MWANASAIKOLOJIA Location: Mabwe pande Nipo Hapa tena aseee! Eebanae! way back kidogo nilitembelea mkoa wa Mbeya, nilishuhudia kuona wadada kwa wamama, pamoja na vibiti vidogo vikiwa vimejaaliwa Msambwanda! Na hata kama msambwanda sio mkubwa sana lakini...www.jamiiforums.com