Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Bebeshi nang'oo!! Yaani kweli amateurish assassins wawe na uwezo wa kuingia kwenye highly secured areas with a lot of cctv cameras kama lile kisha wafanye shambulio kwa kujiamini kiasi kiasi kile pasipo kuhofia kitu chochote?

Mkuu kitendo cha Lisu kusurvive pale zile ni kudra tu za Almighty one na sio uzembe wa wale wapigaji
 
Waliohusika hawajajulikana bado jeshi la polisi linafanya uchunguzi.
Basi nyie inaonesha mnajua waliomteka mkaisaidie polisi.
 
Kuingia kwa ujasiri sehemu yenye cctv camera haimaanishi Ni tiss..
Lete evidence Basi Lizarazu.
Kama huna evidence Basi hizi Ni porojo Kama porojo nyingine
 
Uneona eeh...
Kwanza JPM mimi naona Kama wanamuonea...Hadi Sasa sijaona mpinzani wa kunkosesha usingizi Hadi afikie hatua ya kumuua...
Watakuwa wamejikanganya wenyewe huko wao kwa wao halafu wanakuja kusingizia tiss.
Lizarazu
Kwamba unasemaje!?

Hakuna wakumnyima usingizi nani eti?

Kama asingekuwepo kweli wa kumyima usingizi tusingeona hizi kesi za kipuuzi puuzi wanazopewa akina Mbowe na Zito kila leo, tusingeona mikutano ya kisiasa ikipigwa marufuku paia vile vile tusingeona political assassination attempt kwa mtu ambaye ndio kinara wa ukosoaji.

Wanaomnyima usingizi Magu wapo wengi sana aruhusu tu political fair ground ujionee.
 
Hapa kwenye upole mmejisingizia[emoji14][emoji14][emoji14]
Hii sifa sio yenu...
Eti Lizarazu nyie Ni wapole!???
Bora ujisemee wewe[emoji3][emoji3]
Japo sijawahi ona msukuma mpole...ila kwa uchapakazi nawapa heko[emoji122] mkiongozwa na jembe lenu toka chattle[emoji14][emoji14] anko magu

Lizarazu
Sasa siuje kwangu uhakikishe kuwa wanaume wa Kisukuma wapole wapo? Unakwama wapi sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi napenda watu wakali..ila sio ukali Kama wa Lizarazu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu atakufundisha..
Una ng'ombe wangapi kwanza!!?
Nyumbani kwetu utaleta wangapi!???
Inatakiwa ujipange...Maana wamenilea nikaleeka mtoto[emoji3526][emoji3526][emoji847]
Hapana. Mnakuja kuchukua nyie tukishaelewana bei na wazee wako. We nikubalie tu. Masuala yote ya kiitifaki za kimila nitayashughulikia...

Lizarazu yuko wapi? Nakaribia kupindua serikali huku ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Lizarazu atakuwa mshenga wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sisi Mila zetu mwanaume ndiye analeta mahari nyumbani...Wala SI wazazi wanaofwata.
Kabila gani hilo?

Lizarazu awe mshenga wangu. Thubutuuu... Atakuja kunipindua tu na utombina tombina wake [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kwa hiyo umenikubalia ama?
Aisee!! Mmenifurahisha sana nyie watu. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wanapata kesi kwa sababu ya utovu wa Nidhamu..ukivunja sheria lazima uwajibishwe.

Hana mpinzani ndio ..Hadi Sasa sijaona mbadala wake.
 
Tuuacheni huu uzi sasa urudi kwenye mada yake ya usingo maza. Tumeshauharibu vya kutosha. Bila shaka mwenyewe aliko kafura balaa. Ila kuanzia sasa Saint anne jua madarubini yangu makali kutokea huku Gamboshi yanakumulika kwa mwanga mkali sana Hubble Telescope cha mtoto. Ukijichanganya tu utajikuta uko Koromije ukipapalilia majaruba ya mpunga. Asante kwa matani rafiki. Lizarazu yeye nitagongana naye kwingine huko sema tu akianzaga makiingereza yake magumu mi nakimbiaga. Blessings to you all...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Lizarazu upunguze makiingereza yako magumu[emoji12]
Sawa makolo boy[emoji3][emoji3]


Mwenye Uzi tumempunguzia mzigo wa mabishano...Maana wamebishana humu ndani Hadi wakatia huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena hawachoki aisee[emoji1373][emoji1373]kile Ni kipaji nacho
 
Sijajibiwa hapa --- kuna wanawake kibao wamekataa na tunayoyaoongelea hapa hayajatokea,nini chanzo cha hayo yote kutokutokea?


Once a baharia always a baharia
Wewe mbona maswali yangu haujayajibu kwanza?? Ungeanza kunijibu kwanza swali langu ningekuona wa maana!!
 
Kwani hakuna watu wanaozaa wakiwa na umri huo na wanalea watoto wao vizuri??

Yaani wewe siyo mbishi tu bali pia ni mgumu kuelewa kama huyo mwenzio hapo!!
 
Hahahaha sasa kati ya mimi na wewe nani anageuza mada na kuchukulia vitu personal??

Kwanza kabisa wewe ndiyo umegeuza hoja zangu ziwe unavyotaka wewe halafu inaonekana una vitu personal na wanawake!!
Umechanganyikiwa na umeigeuza hii mada personal. Unaongea hovyo ila hujui tu. Nani kasema naumizwa. Huwezi kuwa critic mzuri kwa sababu inabadili maneno hovyo. Kuna jambo limekukwaza sana kwenye hii mada
 
Kichwani umejaza matangopori
Hivi kuna mwanaume anayeweza kumpenda mke wake unconditional love yaani upendo usio na masharti yoyote??

Kumbuka nimekwambia sifa za upendo ni husamehe, huvumilia, hustahimili na hauhesabu mabaya sasa je ni wanaume wangapi hasa wa kiafrika wana huo upendo kwa wanawake wao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…