Mkuu, nasikitika ulichoandika ni kujaribu kubalance gender. Ukweli hauko hivyo hata kidogo. Nikuulize swali dogo tu, kwa nini inawezekana kwa mwanamume kuoa wanawake zaidi ya mmoja na isiwezekane kwa mwanamke kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja?
Sipingi kwamba mwanamume awe na make mmoja kwa sababu za kiimani lakini,, hoja hapa ni binti asiolewe na mwanamume aliyezaa this is wrong in all accounts. Labda kama ni kwa mtazamo was equality na sio uhalisia na asili.
Nakusikiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Saint anne kuna namna na huyu Lizarazu wake. Tangu kuche leo ameshamtag zaidi ya mara 20 (nimehesabu). Ameanza kwa kuomba msamaha wa dhati kwa kosa ambalo wala halieleweki. Nimejitolea hapa kutoa ng'ombe 70 sharti lake kuu eti lazima Lizarazu awe mshenga. Sasa tena hapa tunalazimishwa kuamini eti Lizarazu ndo anajua kupenda. Hata kama ni kumshobokea mtu this is tuu machi. Ai giva pu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nishakuambia una matatizo, you can't reason. Kila hoja unaichukulia personal na unatafuta kuonekana ni mjuvi was ubishi. So have your way
Nadhani jibu langu unalikumbuka vizuriHuyu Saint anne mbona hata mimi nilishawahi kumwambia kwamba yeye na Lizarazu wanaendana na ipo siku watakuja kufunga ndoa
[emoji125][emoji125][emoji125]ijuuu... Sinyagile enyali lilino.Ukiwa na hoja ndiyo uje ubishane na mimi, wasted sperm.
Nyie wasukuma si mnapenda ubabe kwenye kila kitu..yaani ubabe ubabe tu
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]nimelisahau etiNadhani jibu langu unalikumbuka vizuri
[emoji1787]
[emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji125][emoji125][emoji125]ijuuu... Sinyagile enyali lilino.
Wasituchoshe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kweli tumuulize mtoa mada hili swali mbona wanaume wakitongozwa na wanawake hawakatai??Wasituchoshe
Waingilia ndoa za watu hata mie napigilia msumari na nyundo kabisa, mwinginePamoja ndio wanawake wana matatizo yao,lakini vijana wengi wakiume wanapenda sana NGONO,lakini wanaogopa MAJUKUMU.Single mother sometimes wanazalishwa na wanaume waoga wasiopenda,kubeba majukumu yao,kuna baadhi ya single mother hawana hatia ila ndio hivyo walikutana na watu wasio sahihi,wasiopenda kutimiza majukumu yao ya ubaba.
Ndio maana siku hizi akina bibi na babu wanabeba mizigo ya kuwalea wajukuu,wenyewe wakikaa kijiweni utawasikia "babu yao na bibi yao wanawapenda sana wajukuu wao" ,kumbe hawajui babu na bibi wanajua nini umuhimu wa mtoto kupata malezi ya baba na mama.
Mimi single mother nisiye muonea huruma ni yule ,aliyeingilia ndoa ya mtu tena kwa makusudi ya kutaka kumchukua mume wa mtu,huyo kwangu hastahili huruma.
Kama kondoo vile unamswaga tu hakuna kutumia nguvuNa kweli tumuulize mtoa mada hili swali mbona wanaume wakitongozwa na wanawake hawakatai??
Sipendi mpole Sana Kama Mimi.Lakini mdogo wangu wewe si ulisema unapenda wanaume wababe?? Mimi wanaume wababe hapana kwa kweli huo ubabe wake aupeleke huko kwa wanaume wenzie watakaokuwa wananisumbua asiniletee mimi isitoshe mwanamke hapigwi kwa ngumi wala mateke anapigwa kwa vitenge na khanga tu!!
Kama kondoo vile unamswaga tu hakuna kutumia nguvu
Nifungulie PM nikuulize kitu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi tags zisikutishe..
Anajua Kwanini namtag[emoji14][emoji14][emoji14]
Ila kuanzia kesho hutaziona Tena hizi[emoji3][emoji3]
Nilisema Hamna kitu kama hicho.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]nimelisahau eti
Dah mzee wangu akiongeza na wake wawili watakuwa 72[emoji847][emoji847][emoji847][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].Nifungulie PM nikuulize kitu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ng'ombe zangu 70 ndo naziaga hivyo dah. Bagosha [emoji16][emoji16][emoji16]
Lizarazu na Saint anne ndoa yao hata wiki haimalizi. Nabeti torori langu jipya la kubebea maji ndoa yao ikivuka wiki mje mlichukueHuyu Saint anne mbona hata mimi nilishawahi kumwambia kwamba yeye na Lizarazu wanaendana na ipo siku watakuja kufunga ndoa
Sipendi mpole Sana Kama Mimi.
Nitamuonea...awe mbabe ila sio ubabe wa kutwangana magumi
Na wewe ni Mnyakyusa ama?Mimi siyo mwanaharakati ila ni msemaukweli hasa kwa wanaume wasiojua wajibu wao mwanaume anayejua kupenda mbona mimi sina shida naye kabisa ila nimeshaolewa na sijaolewa na msukuma nimeolewa na wa kabila langu