Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hii nchi wanafiki Ni wengi.Huyu mtu ni hatari zaidi ya hatari. Ni wa kuangalia sana. Amenyimwa zile kamati za bunge alizokuwa anapigia hela basi visasi si visasi ali mradi vurugu tupu. Hata leo huyu akipewa cheo kimyaaa hutamsikia tena. Hovyo kabisa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanitia hamasa tu...
Nipe namba ya mzee nianze mazungumzo miye
If your mediocre vacillanting feeble-mind couldn't even take a grip of my pellucid explanations i don't expect you to apprehend the frailty of your comprehension.Why should I doubt my comprehension just because of your stupid comment??
Ahahahaha!! Wewe kuna mtu kakusaidia hapo ulipo sio bureNimeelewa.
Umeandika acha uongo,sijui English.
Kisukuma kumbe chepesi hivi
Humoroga[emoji57][emoji57]Hicho siyo Kisukuma. Lizarazu siyo Msukuma. Hii ni lugha yenu mojawapo ya huko huko Green City
Hiyo sentensi kwa lugha yangu ingekuwa hivi.Ahahahaha!! Wewe kuna mtu kakusaidia hapo ulipo sio bure
Hapo umemaanisha muongo...au nimekosea??Humoroga[emoji57][emoji57]
Looh!! Sifa tena, kwani hapo cha ajabu ni kipi hasa jamani?Wasukuma mna sifa Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Naona unajaa kichwa mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah.
Now ntapunguza kukusifia....
Nimeelewa tu I'm just[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heee!! Yamekuwa hayo tena ndugu duuh!!Lizarazu si ajabu ni kabila moja na Kiduku Lilo huyu [emoji16][emoji16][emoji16]
Anakosea wapi Zitto kwenye uwasilishaji wake?Anaweza akawa yuko sawa ila anakosea namna ya kuwasilisha.
Kila kitu kinatakiwa kufwata itifaki...ukijiropokea tu lazima ukamatwe
Muone[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526].Looh!! Sifa tena, kwani hapo cha ajabu ni kipi hasa jamani?
Si nimsema tu mimi uwezo wangu wa kisanaa ya kuunda maneno umejaa zaidi maneno ya kawaida na mengine ni ya kishamba.
Hee!! Mimi sijajaa kichwa bhana [emoji39][emoji39]
Na ndivyo wanawake tunavyotakiwa kuwa hivyoNi mstaarabu tu Ila sio mpole[emoji3][emoji3][emoji3]
Ila kuongea siwezi kabisa...
Keyboard zinatuokoa na mengi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mtulivu.Anakosea wapi Zitto kwenye uwasilishaji wake?
Unaomba Nini!????
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta prayer point nyingine...hiyo inakupotezea muda.
Angeziweka ili aone vizuri mkeka unavyomchanikia.
Kwamba ZZK ni mchumia tumbo?Mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine. Hakuna jipya !!!
AssumptionUmeona eeh!??
Yaani wanajitia Wana uchungu na nchi ila nao wakipewa nafasi watajaza matumbo Yao.
Hakuna anayeweza kufanya kwa asilimia zote.
Mimi sijatongoza. Wasukuma hatutongozagi. Sisi ni kupeleka mahari tu. Mengine yatajulikana huko huko mbele ya safari. Kama binti ni toli, mweupe na ana msambwanda basi kwisha kazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Lina rangi za kutosha. Taa kila kona. Kengele ndo usiseme na makorokocho mengine kibao. Mpaka na kimtambo cha WiFi kabisa. Laki tatu za haraka haraka hukosi [emoji16][emoji16][emoji16]