Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hapo upo sahihi kabisa mkuu 100%

Na pia sidhan mzazi aliemlea kijana wake mbichi Kabisa hana mtoto akubali mwanae afanye hivi
Mama zetu wenyewe tu ukawapelekea mkamwana ambaye tayari ana mtoto wa mwanaume mwingine wanatusikitikia sana tena kuna wengine wanathubutu kukwamisha kabisa ndoa hiyo isifanyike. Halafu hapo hapa unakuta wana mabinti zao ambo tayari ni masingle mothers na wanapenda siku moja waolewe.

Kiufupi hata wanawake tu wenyewe hawako tayari kuona vijana wao wakioa mwanamke aliyekwisha zalishwa sababu wanajua vizuri complications zake.
 
Shangazi natafuta komenti yako huku siioni.

Cc Khantwe

joanah (Kulwa) kwenye nyuzi kama hizi huwa sikuoni.

Karma mama mpigania haki za wanawake JF ushauri wako pls.
 
Shangazi natafuta komenti yako huku siioni.

Cc Khantwe

joanah (Kulwa) kwenye nyuzi kama hizi huwa sikuoni.

Karma mama mpigania haki za wanawake JF ushauri wako pls.

Afate ushauri wa comment #2 ya MC44

Kuna watu huwa wanaanzisha mada humu ili mradi tu jamii fulani ianze kuongelewa/kujadiliwa,nyuzi zinazowahusu single mothers zipo nyingi sana humu....azipitie tu
 
sheremaya,

Shida ya wanaume tunakuwa na wivu wa kijinga sana. Sasa hivi hajaolewa ila ukishamuoa utashangaa mzazi mwenzake anaanzisha mawasiliano na kama mwanamke hayupo vizuri kichwani utakuta anaanzisha mawasiliano na mzazi mwenzako.

1. Unatakiwa usiwe na wivu pale mkeo akianza kuongea na mzazi mwenzake kuhusu mtoto
2. Inabidi umpende sana maana wengi wanachuki sana na wanaume.
3. Ukubali kuliwa ganji ili aweke mazingira mazuri ya mwanae
4. Umpende mwanae
Kuna single mother wazuri na wanaojitambua na wengi wasiojitambua. Ila kwahiyo issue yako oa maana inaonesha huyo hana mawasiliano na mzazi mwenzake.
 

Na nilikua nafikiri nimuoe bila harusi alafu badae tutakuja kubariki ndoa yetu
 
Hiyo namba 7 ya kukumbushiana ipo sana tena sana. Ukumbuke wazazi huwa hawachani milele sababu kuna mtoto anawaunganisha. Kingine ukubali kumpenda mwanae na siku akikosea huwezi kumuadhibu huyu mtoto wa mkeo. Unapomuoa single anakuchukulia wewe dhaifu kama hauko dhaifu kwanini usioe mwanamke ambaye hajazaa? Hapo hakuna heshima
Ukubali kuibiwa fedha ili amjengee mazingira mazuri huyo mwanae.
Wapo single mother wazuri na wanaojitambua ila wengi ni pasua kichwa. Kiukweli toka moyoni siwezi kuoa single mother, wataoa wengine ila mimi hapana.
 
Na nilikua nafikiri nimuoe bila harusi alafu badae tutakuja kubariki ndoa yetu
Ni sawa ni jambo jema ila unatakiwa umpende sana maana tayari ni kama unaishi na mtu aliyenusurika kubakwa na kuchinjwa na mwanaume. Wengi huwa wanamawazo hasi juu ya wanaume. Nenda kajitambulishe kwao wakutambue kama mumewe ili uzidi kutengeneza mazingira magumu kwa huyo mwanaume sababu akianza kuzingua kwao ndiyo watambana.
Kwa issue yako oa tu huyo yuko vizuri anafaa kuwa mke
 
Usioe single mother.
Mke huyo akikutana na baba watoto Kumchomolea vigumu ataliwa dodo tu
Halafu watoto hao utawahudumia ww na wakikua wanaweza wasiwe na uchungu na ww na hata msaada na ww wasiwe nao.
Wanaweza kukuletea dharau kabbisa kuwa aah sio baba yao ulishoboka tu kuwalea.
Na pia ht kukusikiliza inategemea yani ni probability nina experience nalo ya mwaka sasa usioe single mother mkuu .

OVA

sheremaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…