sibbonnobo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 722
- 885
Comment yako imenichekesha sana. Hatareee.Hapo ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara, hata wasipovunja ila wasiwasi kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment yako imenichekesha sana. Hatareee.Hapo ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara, hata wasipovunja ila wasiwasi kibao
Mama zetu wenyewe tu ukawapelekea mkamwana ambaye tayari ana mtoto wa mwanaume mwingine wanatusikitikia sana tena kuna wengine wanathubutu kukwamisha kabisa ndoa hiyo isifanyike. Halafu hapo hapa unakuta wana mabinti zao ambo tayari ni masingle mothers na wanapenda siku moja waolewe.Hapo upo sahihi kabisa mkuu 100%
Na pia sidhan mzazi aliemlea kijana wake mbichi Kabisa hana mtoto akubali mwanae afanye hivi
Shida ya wanaume tunakuwa na wivu wa kijinga sana. Sasa hivi hajaolewa ila ukishamuoa utashangaa mzazi mwenzake anaanzisha mawasiliano na kama mwanamke hayupo vizuri kichwani utakuta anaanzisha mawasiliano na mzazi mwenzako.
1. Unatakiwa usiwe na wivu pale mkeo akianza kuongea na mzazi mwenzake kuhusu mtoto
2. Inabidi umpende sana maana wengi wanachuki sana na wanaume.
3. Ukubali kuliwa ganji ili aweke mazingira mazuri ya mwanae
4. Umpende mwanae
Kuna single mother wazuri na wanaojitambua na wengi wasiojitambua. Ila kwahiyo issue yako oa maana inaonesha huyo hana mawasiliano na mzazi mwenzake.
Hiyo namba 7 ya kukumbushiana ipo sana tena sana. Ukumbuke wazazi huwa hawachani milele sababu kuna mtoto anawaunganisha. Kingine ukubali kumpenda mwanae na siku akikosea huwezi kumuadhibu huyu mtoto wa mkeo. Unapomuoa single anakuchukulia wewe dhaifu kama hauko dhaifu kwanini usioe mwanamke ambaye hajazaa? Hapo hakuna heshimaNaomba nianze kukulaumu wewe kama wewe
1.Huna upendo wa dhati kwa huyo Dada .2.Hujui ulitakalo kwenye maisha yako
3,IPO siku isiyojulikana utakuja fungua uxi wa kuuliza umeoa Sana JF wakupangie ratiba ya Sex
4,.Mpaka unapanga nae mipango mmefika mbali eti unakuja uliza so wengi wakisema usioe utasitisha( katili sana)
5.Bora huyo kazaa waweza kutana na Mama wa marehemu na vizazi hawana au ukabambikwa mimba(ndo adhabu utakayopata ukimwacha)
6.Kama huyo ni single mom basi jua pia kuna single dad sehemu
7.Suala la kusema akiyezaa atakumbushia na mzazi mwenzie huwa nalishangaaga sana
Sasa kama ni ivyo na ni simple hivyo why waliachana??
JF Men stop this bulsht!!!!!!!!!
Mwisho
Oa hana neno
Thank me later.
Ni sawa ni jambo jema ila unatakiwa umpende sana maana tayari ni kama unaishi na mtu aliyenusurika kubakwa na kuchinjwa na mwanaume. Wengi huwa wanamawazo hasi juu ya wanaume. Nenda kajitambulishe kwao wakutambue kama mumewe ili uzidi kutengeneza mazingira magumu kwa huyo mwanaume sababu akianza kuzingua kwao ndiyo watambana.Na nilikua nafikiri nimuoe bila harusi alafu badae tutakuja kubariki ndoa yetu
Jitahidi uwe unanitag kwenye mada za msingi
nimeshindwa kucomment nimeishia kusoma comments.
Kasome uzi wa Tofu
Usioe single mother.
OVA