Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii


Mtoto yupo mmoja tu,na hata asipokuwa na uchungu namimi wapo nitakaozaa na huyu mama yake inamaana nao hawatakua na uchungu namimi
 
Lizarazu,
Hii ni point muhimu ndio maana na huku mikoani kama kijana una umri wa miaka 28 na zaidi hujaona ukamtongoza binti mdogo afu umwambie hujaoa na huna mtoto atapata shida kukuelewa lazima akutilie shaka ni bora umwambie una mtoto abaki na swali kwa nini hujamuoa uliyemzalisha sasa hapo ni wewe jinsi ya kumuaminisha
 
Shida ya hao watu ni huyo mtoto wake wa kwanza tena ukitaka ahueni labda aende kuishi na baba yake ila lazima Maza atamfichia mali piga ua

Swala la mali ni haki ya kila mtoto,naweza kutengeneza utaratibu wa kuwawekea kila mmoja na mzigo wake ili mama yake asipate wazo la kuficha kwa ajili ya mtoto mmoja
 

Avhana na hao wa mtaani,kuna sababu nyingi zinachelewa mtu kuanzisha familia...kiuchumi,shule,kufiwa,kutoa mimba/mimba kuharibika n.k
 
Usioe.
Au kama ni kichaa pia ambae haijulikani atapona leo au kesho,unaweza kufikiria kuoa,ila nje ya sifa hizo mbili.

Hmmmm maneno mazito hayo kiongozi,
Asante kwa ushauri ila simuachi huyu
 
Mtoto yupo mmoja tu,na hata asipokuwa na uchungu namimi wapo nitakaozaa na huyu mama yake inamaana nao hawatakua na uchungu namimi
Mkuu please usioe single mmama plz kaka.
We love you so much we need you.
Halafu kaka ww haujui tu.
Kuna kijiuhasama chaweza ingia kat ya watoto wa baba mmoja.
Ama hulijui hilo?
Yani watoto wa baba mmoja huwaga na tabu sana jaribu kufuatilia hili.
 
Story yako inatufundisha nini mkuu

Cc Kingsmann

Inatufundisha tusioe single mothers. Inawafundisha wanaojifanya mabaharia kuoa single mothers wanashare penzi na vidume waliozalisha. Inafundisha pia wadada zetu kua makini na wanaume kama ukiona hakuna future plans jihadhari na mwanaume huyo usije zaa nae akaingia mitini na kukuacha single mother.

Ila kikubwa zaidi nimejifunza uungwana wa jamaa kukwepa kula embe la watu daaah jamaa kani inspire wanaume wengine tuige mfano huo hata kama tumezaa na wanawake tusiendeleze penzi tunawadhulumu wanaume waliowaoa.
 
Mkuu please usioe single mmama plz kaka.
We love you so much we need you.
Halafu kaka ww haujui tu.
Kuna kijiuhasama chaweza ingia kat ya watoto wa baba mmoja.
Ama hulijui hilo?
Yani watoto wa baba mmoja huwaga na tabu sana jaribu kufuatilia hili.

Maskini ya mungu ntamtupa wapi huyu mwanamke anavyoniheshimu namna hii,nakojolea pazuri ndugu yangu we acha
 
Kutegemea na mkoa uliopo KY inaweza kua elfu sita au hata elfu kumi na tano.

Wewe upo mkoa gani?
 
Maskini ya mungu ntamtupa wapi huyu mwanamke anavyoniheshimu namna hii,nakojolea pazuri ndugu yangu we acha
Hahahahahahahaha daaah mkuu nacheka kama mazuri.
Mm nimeoa chumma hiko ni kamama cha kishombeshombe ana watoto wawili.
Lakini kudaddake hamu yote ya kuoa asili shombe imenitoka.
Hususan watoto ni tabu tupu.
Jamani kaka watu wasikie tu kulea,kulea tabu asikwambie mtu bro.
Mtoto mpk akusikilize na anyooke ni kazi moja nzitto sanaaa.
Asa hawa watoto wa kambo wanakua wanatengeneza bias flani psychologically kuwa ah "huyu sina umuhimu nae sana akizingua namzingua maana sio baba angu wa damu na wala hanihusu sana " .
Na hakuna watu wenye upofu wa mapenzi kwa watoto km kinamama.
Ikatokea kakosea unataka kumuwajibisha hapo nalo tatizo linaingia.
Kaka mm nasubiri ya rohoni yanizidi natoa talaka.
Single mama usioe.
 
Umeongea kwa uchungu sana na masikitiko mkuu,lakini wengine tumezoea kash kash,vurugu kwenye maiaha kwaiyo sioni hatari kwa hili wazo langu..
Swala la kuadhibu mtoto kwa kipigo sio jema.
Baba wa mtoto hana time na mtoto na mtoto hamjui baba yake,japo najua itafika kipindi itakua ni muhimu mtoto kumtambua baba yake wa kibiolojia.
Pole sana ndugu yangu na hizi ndio changamoto za maisha upende boga na ua lake.

Kama hapashi kipolo usimuache huyo single mama nakusihi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…