Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya hao watu ni huyo mtoto wake wa kwanza tena ukitaka ahueni labda aende kuishi na baba yake ila lazima Maza atamfichia mali piga uaTegemea security ya mtoto wa kwanza kuharibu ndoa au baba wa mtoto
Jitahidi uwe unanitag kwenye mada za msingi
Usioe single mother.
Mke huyo akikutana na baba watoto Kumchomolea vigumu ataliwa dodo tu
Halafu watoto hao utawahudumia ww na wakikua wanaweza wasiwe na uchungu na ww na hata msaada na ww wasiwe nao.
Wanaweza kukuletea dharau kabbisa kuwa aah sio baba yao ulishoboka tu kuwalea.
Na pia ht kukusikiliza inategemea yani ni probability nina experience nalo ya mwaka sasa usioe single mother mkuu .
OVA
Shida ya hao watu ni huyo mtoto wake wa kwanza tena ukitaka ahueni labda aende kuishi na baba yake ila lazima Maza atamfichia mali piga ua
Hii ni point muhimu ndio maana na huku mikoani kama kijana una umri wa miaka 28 na zaidi hujaona ukamtongoza binti mdogo afu umwambie hujaoa na huna mtoto atapata shida kukuelewa lazima akutilie shaka ni bora umwambie una mtoto abaki na swali kwa nini hujamuoa uliyemzalisha sasa hapo ni wewe jinsi ya kumuaminisha
Kama mzazi mwenzie KAFA,muoe tu haina shida.
Usioe.Yupo hai
Usioe.
Au kama ni kichaa pia ambae haijulikani atapona leo au kesho,unaweza kufikiria kuoa,ila nje ya sifa hizo mbili.
Mkuu please usioe single mmama plz kaka.Mtoto yupo mmoja tu,na hata asipokuwa na uchungu namimi wapo nitakaozaa na huyu mama yake inamaana nao hawatakua na uchungu namimi
Hilo ni juu yako sasa,huko utajua mwenyewe kusuka au kunyoa.Hmmmm maneno mazito hayo kiongozi,
Asante kwa ushauri ila simuachi huyu
Mkuu please usioe single mmama plz kaka.
We love you so much we need you.
Halafu kaka ww haujui tu.
Kuna kijiuhasama chaweza ingia kat ya watoto wa baba mmoja.
Ama hulijui hilo?
Yani watoto wa baba mmoja huwaga na tabu sana jaribu kufuatilia hili.
Hilo ni juu yako sasa,huko utajua mwenyewe kusuka au kunyoa.
Kazi yangu nimeimaliza.
Hahahahahahahaha daaah mkuu nacheka kama mazuri.Maskini ya mungu ntamtupa wapi huyu mwanamke anavyoniheshimu namna hii,nakojolea pazuri ndugu yangu we acha
Umeongea kwa uchungu sana na masikitiko mkuu,lakini wengine tumezoea kash kash,vurugu kwenye maiaha kwaiyo sioni hatari kwa hili wazo langu..Hahahahahahahaha daaah mkuu nacheka kama mazuri.
Mm nimeoa chumma hiko ni kamama cha kishombeshombe ana watoto wawili.
Lakini kudaddake hamu yote ya kuoa asili shombe imenitoka.
Hususan watoto ni tabu tupu.
Jamani kaka watu wasikie tu kulea,kulea tabu asikwambie mtu bro.
Mtoto mpk akusikilize na anyooke ni kazi moja nzitto sanaaa.
Asa hawa watoto wa kambo wanakua wanatengeneza bias flani psychologically kuwa ah "huyu sina umuhimu nae sana akizingua namzingua maana sio baba angu wa damu na wala hanihusu sana " .
Na hakuna watu wenye upofu wa mapenzi kwa watoto km kinamama.
Ikatokea kakosea unataka kumuwajibisha hapo nalo tatizo linaingia.
Kaka mm nasubiri ya rohoni yanizidi natoa talaka.
Single mama usioe.