Hahaaa. Kafuatilie interview za Dj sepetu hapo utapata kila kitu mkuu.hapo sawa,hebu nipe mtazamo wako,kwenye 10 humu JF wanaweza kuwa wangapi hao singeli mazeli?
Hawawapendi wakati wenyeww ndiyo chanzo, wanaume wote wasipowatelekeza watoto wao kuna mtu atakua single mother?Hahaaa. Hapo chacha.
Hawajui ni sehemu ya maisha tu hiyo na sidhani kama kuna mwanamke ambaye amependa awe hivyo.
nipe Link japo moja,naweza kuona na wewe ukicoment kama singeli mazeli au wewe sio?Hahaaa. Kafuatilie interview za Dj sepetu hapo utapata kila kitu mkuu.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mkuu usinichonganishe na dada yangu ule ni mfano na pale nimeweka wanawake 10 lengo ni je katika wale niliowaweka kweli 09 ni single mother?ukhuty nimekuona kwenye list ya single mothers! utanieleza tu hicho cheo umetolea wapi...
eeeh kumbe ni Cheo hicho?ukhuty nimekuona kwenye list ya single mothers! utanieleza tu hicho cheo umetolea wapi...
Ndio hapo sasa. Wanashindwa kujiongeza.Hawawapendi wakati wenyeww ndiyo chanzo, wanaume wote wasipowatelekeza watoto wao kuna mtu atakua single mother?
Akaaaaaa. We katafute huko huko unaweza bahatika niona na mie. Hahahaaa.nipe Link japo moja,naweza kuona na wewe ukicoment kama singeli mazeli au wewe sio?
ktk ubora wakoAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
dunia imeelemewa na wingi wa singo maza
Inasemekana palipo binadamu 10 kuna singo maza 7
Hata jamii forum kati ya wanawake 10 bas 9 ni singo maza
London kwa sasa iko mbion kuja na tiba mbadala ya kupunguza tatizo hili sugu ambalo kwa sasa limekuwa kubwa sana ulaya, america na afica hasa kwa kenya na tanzania
Wasomi kutoka chuo kikuu cha rumis huko america ya kusin wamesain waraka wa kumaliza tatizo hili
Msomi john cater amesema wako mwisho mwishon kuja na suluhisho la kudumu
LONDON BABY
Mkuu kwa sasa singo maza ni jangaHili tatizo Tz in 10yrs or 20yrs to come itakuwa disaster kubwa sn.
Maajabu videmu havina akili. Vina leta nyodo. Ma men wana wadampu fasta.
At 20s to 35 huwa wanaona raha sana. "Wanasema Niko huru, sinabanwi, mambo ya kupangiana staki, nakula bhata hadi nachoka, club,nk"
At 40 yuko lonely balaa. Ana 4 kids, @from a different man. Hapa ndio patamu..
Weee waache tu. Nigeria & Kenya Wana andamana hawaolewi, Tz wanawake wanachezea wanaume. Subirini...kiama kinakuja.
Ni wengi sanahahahahahahahha,nasikia HUMU wamejaa
lol umefikiria mbaliNifuatilie interview zina nini?
Ndio sababu huwa mnazishabikia ili mpate pa kusemea, sababu huwa wanaume hamkaukagi kwenye hizo interview.
Nimeelewa sasa mkuu.
mbn mbio tena ,best?Akaaaaaa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni wengi sanahahahahahahahha,nasikia HUMU wamejaa
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza kujishutikia na kutaguta visingizioSa sijui ananufaika nini.
Au ndio kapima kwamba nyuzi za uongo uongo hasa zikihusisha wadada wa jf ndio zinakubalika majukwaani.
Ahsante mwaya.lol umefikiria mbali
itapendeza wakitutoa akilini mwao
Mimi mama yangu anaish na faza kwa raha zakeMtoa mada ni mtoto wa single maza au wa dauble maza?
Singo maza ni tishio mkuuHatari sana hawa "Single Mothers", kwenye ndoa yako ikiingiliwa na hawa kupona bahati, sababu watamlisha maneno mke wako mgombane na kuachana, mke awe kama yeye, ogopa single mothers popote ulipo..