Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hahaaa. Hapo chacha.

Hawajui ni sehemu ya maisha tu hiyo na sidhani kama kuna mwanamke ambaye amependa awe hivyo.
Hawawapendi wakati wenyeww ndiyo chanzo, wanaume wote wasipowatelekeza watoto wao kuna mtu atakua single mother?
 
Wanalimalizaje wakati wanawake hawataki kuolewa mapema badala yake wanakula ujana na kupatia huko ujauzito hatimaye wanakimbiwa
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu


dunia imeelemewa na wingi wa singo maza

Inasemekana palipo binadamu 10 kuna singo maza 7

Hata jamii forum kati ya wanawake 10 bas 9 ni singo maza


London kwa sasa iko mbion kuja na tiba mbadala ya kupunguza tatizo hili sugu ambalo kwa sasa limekuwa kubwa sana ulaya, america na afica hasa kwa kenya na tanzania


Wasomi kutoka chuo kikuu cha rumis huko america ya kusin wamesain waraka wa kumaliza tatizo hili

Msomi john cater amesema wako mwisho mwishon kuja na suluhisho la kudumu


LONDON BABY
ktk ubora wako
 
Hili tatizo Tz in 10yrs or 20yrs to come itakuwa disaster kubwa sn.

Maajabu videmu havina akili. Vina leta nyodo. Ma men wana wadampu fasta.

At 20s to 35 huwa wanaona raha sana. "Wanasema Niko huru, sinabanwi, mambo ya kupangiana staki, nakula bhata hadi nachoka, club,nk"

At 40 yuko lonely balaa. Ana 4 kids, @from a different man. Hapa ndio patamu..

Weee waache tu. Nigeria & Kenya Wana andamana hawaolewi, Tz wanawake wanachezea wanaume. Subirini...kiama kinakuja.
Mkuu kwa sasa singo maza ni janga
 
Nifuatilie interview zina nini?

Ndio sababu huwa mnazishabikia ili mpate pa kusemea, sababu huwa wanaume hamkaukagi kwenye hizo interview.

Nimeelewa sasa mkuu.
lol umefikiria mbali
itapendeza wakitutoa akilini mwao
 
Sa sijui ananufaika nini.

Au ndio kapima kwamba nyuzi za uongo uongo hasa zikihusisha wadada wa jf ndio zinakubalika majukwaani.
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza kujishutikia na kutaguta visingizio

Nenda jukwaa la mmu nimewachana ukweli wametoka povu zaid ya omo
 
Hatari sana hawa "Single Mothers", kwenye ndoa yako ikiingiliwa na hawa kupona bahati, sababu watamlisha maneno mke wako mgombane na kuachana, mke awe kama yeye, ogopa single mothers popote ulipo..
Singo maza ni tishio mkuu
 
Back
Top Bottom