Hata kama alimshawishi abebe mimba bado ni uamuzi wa mwenye tumbo lakeAnayemshawishi?
Sina haja, mbona umenukuu kipengele kimoja kwenye mada ndefu? Upotoshaji!!
Hebu jamii ione, hiyo mipasho iko wapi? Mbona umeishiwa hoja umehamia kwenye nia ovu?Hahaaa naona umeishiwa unaanza mipasho....sijaona hoja yoyote kwenye hii post yako...zaidi ya mashudu,,,kama unataka mipasho tuanze rasmi..semaaaa.. sikuogopi babu we! Labda ban ya JF!..unakuja umejificha na kivuli cha ‘umagharibi’..si useme huna la kuongea time waster!
Nakusubiri,hahaaa nitakujibu mashudu yako accordingly ngoja nimnyweshe mwanangu uji kwanza...[emoji57]
Hakuna, isipokuwa wapo wanaotengeneza mazingira ya kubakwa na wale wanaobakww bahati mbaya.
Kuna binti anakwenda kwa rafiki yake wa kike anakutana na ubakaji, huyu ametengeneza mazingira. Kuna binti anakwenda beach na rafiki zake anaingizwa kuogelea na beach boys anabakwa, huyu katengeneza mazingira.Ndugu upo kisiasa zaidi
Nauliza wanaobakwa nakuwa single mother
Hata kama alimshawishi abebe mimba bado ni uamuzi wa mwenye tumbo lake
Kwenye mimba huo mfano wako hausadifu mazingira. Sheria ya Mungu wote wametenda dhambi na watategemea huruma ya Mungu. Kama ikitokea mimba mwanamume aweza kukataa, kukimbia ama vyovyote vile, mlezi ni mwanamke sababu mazingira pekee yanayokubalika kujenga familia ni ndoa. Nje ndoa ni kujitakia mateso tu kwa mwanamke. Hata sheria haimfungi sana mwanamume kwani hata kama atabainika, imemtaka kumpatia mwanamke peaa za matunzo ya mtoto kulingana na kipato chake.Je wakipatikana majambazi wawili...mmoja akasema alinishawishi mwenzangu.....je sheria itamwacha kwasababu alishiriki kwa kushawishiwa? Au watafungwa wote?
Anayekwenda kanisani huambatana na jamaa zake. Let me tell you some, binti anayelelewa katika maadili atakingwa na mazingira yote hayo ambayo ni ya kufikirika zaidi. Mimi nimekulia kijijini pia, kama ikitokea familia haiemdi kanisani kijiji jirani (parokiani) na anayekwenda ni binti tu, hukabidhiwa kwa familia jirani ambao wanakwenda huko ili awe chini ya uangalizi wao, sio kupuyanga tu. Kubakwa huwa ni mpaka mwwnamke atengeneze mazingira mwenyeweJe anayekwenda kanisani anabakwa njiani.....hususani vijijini
Nadhani ungemuambia mtoa mada kuwa hizo nguvu anazotumia kuwaponda single mothers angezitumia kuwaelimisha wanaume wenzie waache kuzalisha wanawake hovyo na kuacha watotowatetea haki za wanawake jf bado wanaendelea kupambana huku. hizi nguvu mnazotumia kujibizana huku na wanaume mngewapa elimu wenzenu wawe makini wasizae bila mpango.[emoji119]
Hapo nimetolea mfano tu wa watoto wa single mothers wanaofanikiwa lakini sijatolea mfano wa single mothers wenyewe wanaofanikiwa wapo single mothers wanaofanikiwa wanaoteseka na watoto wao hadi wanakuja kufanikiwa sasa labda wewe ndiyo uniambie nini maana ya laanaKuhangaika na watoto inatokana na hiyo status ya single mother ambayo ni ya kujitakia. Laana haimhusu mtoto maana hakufanya hiyo choice ya kuzaliwa na single mother. Mama ndiye alifanya hiyo choice, na consequences zinamhusu.
Hii huwa ndiyo defense mechanism yenu siku zoteHao ni watetea haki za single mothers. Wanawake decent wapo wametulia.
Inanikumbusha ule wimbo "Wanawake wazuriwazuri wameolewa yamebaki manung'ayembe yanahangaika".
Naona sasa mnataka single mothers wengi waanze kusingizia kwamba watoto wao ni matokeo ya kubakwaKatika yote uliyoorodhesha ni moja tu ina mashiko, hiyo namba 3. Hiyo ni criminal event inayomkumba mtu kama vile unavyoweza kuvamiwa na majambazi, na ina considerations za kipekee. Katika nchi zilizoendelea abortion inaruhusiwa katika mazingira hayo ili kulinda heshima ya huyo binti na kumuepusha na madhara ya kiakili yatakayotokana na kulazimika kulea mtoto wa assailant. Hii siyo choice ya msichana kwa hiyo lazima tumtetee na kumsaidia katika mazingira haya.
Mengine yote hapo ya kubeba mimba nje ya ndoa ni uzembe na ni laana.
Kwenye mimba huo mfano wako hausadifu mazingira. Sheria ya Mungu wote wametenda dhambi na watategemea huruma ya Mungu. Kama ikitokea mimba mwanamume aweza kukataa, kukimbia ama vyovyote vile, mlezi ni mwanamke sababu mazingira pekee yanayokubalika kujenga familia ni ndoa. Nje ndoa ni kujitakia mateso tu kwa mwanamke. Hata sheria haimfungi sana mwanamume kwani hata kama atabainika, imemtaka kumpatia mwanamke peaa za matunzo ya mtoto kulingana na kipato chake.
Hivyo huo mfano hauna uhalisia
Anayekwenda kanisani huambatana na jamaa zake. Let me tell you some, binti anayelelewa katika maadili atakingwa na mazingira yote hayo ambayo ni ya kufikirika zaidi. Mimi nimekulia kijijini pia, kama ikitokea familia haiemdi kanisani kijiji jirani (parokiani) na anayekwenda ni binti tu, hukabidhiwa kwa familia jirani ambao wanakwenda huko ili awe chini ya uangalizi wao, sio kupuyanga tu. Kubakwa huwa ni mpaka mwwnamke atengeneze mazingira mwenyewe
Usipowaoa wewe wengine watawaoa na ndoa zao zitadumu maana huku mitaani tunawaona kila mwezi wanaolewa na ndiyo maana mimi huwa nasema maneno ya humu mitandaoni siyo ya kuyatilia maanani sana halafu ni kama mnapiga kelele na mnapoteza muda tu humu kwa sababu hiyo jamii ambayo single mothers hawaolewi kabisa haipo na haitakuja kuwepo endeleeni kusubiri na mtasubiri sanaSawa, usiwatie mimba, hilo pia zingatia sana. Lakini kwa ambao tayari wameshapata mimba msimamo wa waoaji ndio huu unaosomeka kwenye hii thread.
Kwani hakuna wanaume wanaowaomba wanawake wawazalie?? Na kwanini wawaombe??mwenye uamuzi wa kubeba mimba au kutobeba ni mwanamke.
Suala la kubajwa nimesema tangu mwanazo lipo kisheria, lakini kama binti amebakwa na akapata mimba, basi na aendelee kwatika Bwana, ajionyeshe kwa tabia yake njema na Bwana atampa mume. La akijiingiza kwenye tabia za uzinzi, basi atajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.Ni mtazamo wako na unaruhusiwa kuandkika chochote so long no examiner nor judge to justify you're statement
mfano mimi na wewe tunapendana, nikikuomba unizalie unaweza nipa masharti gani?Kwani hakuna wanaume wanaowaomba wanawake wawazalie?? Na kwanini wawaombe??
Kwa binti mwenye maadili, hawezi kuwa kwenye mazingira yatakayo mfanya awe target, hata wazazi wanaojali hawawezi kumweka binti yao kwenye mazingira kama hayo. Kumbuka umeongelea kijijini.Unamanisha kutembea peke yako nimakosa?