Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Hapo umesema kweli, wanawake wamegeuka mawakala wa shetani. Ndio wanaotumika kumjaribu mwanamume, wakitoswa wanaliiiia wakati walikuwa wanatumikia matakwa ya bwana wao.Sasa ni andiko lipi linalosema wanawake ndiyo wawasaidie wanaume kuishinda tamaa yao?? Na nimeshakuambia kwamba vishawishi vipo na vitaendelea kuwepo sababu ndiyo vinavyopima imani na matendo ya wanadamu!!
Yaani ukisema eti wanawake waache kukaa uchi ni sawa na kusema Shetani aache kutujaribu wanadamu ili atupunguzie mzigo wa kutenda dhambi wakati Mungu ndiye kamruhusu lakini akatupa uwezo wa kumshinda ili kwamba kwenye hukumu kusiwe na watu watakaotoa visingizio vya kwamba eti shetani aliwapitia
Andiko? Hili hapa:
1 Timotheo 2
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
βΉ Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
ΒΉβ° bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.