Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Na wengi pia wanawataka,, sasa ninyi msiowataka mna ubora gani kuliko hao wanaowataka??
At their own risk. Sisi tunasema hatuwataki, na tunashauri tuwapendao waepuke hiyo kisirani ya single mother
 
Wako wapi hao single mother natoa tangazo single Mathern aliyetayari aje tukaendeleze maisha tena uje na mwanao na nitawaletea rejesho ndoa ITAKUWAJE nzuri ???!!!!!! Kila mtu anauzoefu wa maisha na chumbani hakuna kuremba
 
Huna cha kunifundisha mimi, tunabadilishana mitazamo tu.



Pole wewe, hocho unachokiamini huko ulaya na marekani kimeshondwa na sasa wengi wanafanya marekebisho


1.Kubadilisha mawazo,is this not learning process...??...wanawake wa humu tutakufundisha pale mama yako aliposhindwa…..kubadilisha mawazo ndio LENGO LETU WANAWAKE WA JF ni kukubadilisha mtazamo kuhusu single mothers and we will..we are that dedicated!...lol...naona unajimwambafy sina la kukufundisha eti tunabadilishana mawazo/...hivi unajitambua unachoongea.?.embu nipe differences ya kuexchange information and learning?..hapa kwenye hii mada yako sio unataka jamii iache uzinzi..bali wewe umepata platform ya kutoa Hatred yako dhidi ya wanawake...maladjusted individuals like you..huwa mnatafutaga chance ya 'kuwalagazagaza' wanawake..wewe sema una matatizo katika ukuaji wako..na proof ni hii topic yako ungekua hauna kasoro kwenye ulezi wako..ungeleta bandiko ambalo lipo balanced..and second.kwa nini wewe umeleta bandiko kutaka 'kutushauri' ama kwa lugha nyingine kutufundisha..ilihali wewe hutaki 'kufundishwa' au kushauriwa in this case??...get lost!

2.Uko ulaya na Marekani wanafanya nini kwenye hii topic yako??au ndio umekosa cha kuongea?? lol kuna msemo unasema bora kukaa kimya uonekane mjinga kuliko kufungua mdomo wako..na ku prove ujinga wako..lol...siku ukiamua kujifunza utajiona ulivyokua unapuyanga JF,lol
 
Hapa nikushukuru kwa kuniita muuaji. Mimi naongelea single mothers na sababu kwa nini vijana wasijichanganye kuoa wwnawake wa hivyo. Hilo nitalisema tena na tena, sasa wewe unayeamini kuwa kuzaa hovyo bila mpangilio ni sex evolution ndio utueleze kuhusu malezi. Usijaribu kunizungumzia mimi habari hiyo isiyo na mashiko, uzae kwa kiherehere chako (JK) halafu ulalamikie malezi. Hujitambui wewe, umekuwa kama msukuke tu.

wewe ndio umeleta hoja ya malezi kuwa watoto wanahitaji kulelewa na baba na mama acha kuruka kimanga pitia posts zako ni wewe ndio umeandika..au una matatizo ya kumbukumbu..?,nakwambia tena kama unadvocate abortion ina maana hurespect kuwa mtoto once conceived ana right to live,sasa kama huheshimu hii kanuni utaongeleaje malezi ya watoto?? concerned na welfare yao?..be real..

eti vijana wasioe single mothers..wana nini?? au ukizaa na kuwa single mother unageuka kuwa jini..au zimwi mla watu??wewe ni mwanaume hivi ungesema the same thing kama wanaume ndio wangekua wabebaji za hizo mimba?and yes wewe ni muuaji,yeyote anaefanya abortion au anayesuport abortion,unfortunately hakuna kuremba ni muuaji....halafu hio sex evolution ni wewe unaongea..hata sijui madudu gani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…