Hapa nikushukuru kwa kuniita muuaji. Mimi naongelea single mothers na sababu kwa nini vijana wasijichanganye kuoa wwnawake wa hivyo. Hilo nitalisema tena na tena, sasa wewe unayeamini kuwa kuzaa hovyo bila mpangilio ni sex evolution ndio utueleze kuhusu malezi. Usijaribu kunizungumzia mimi habari hiyo isiyo na mashiko, uzae kwa kiherehere chako (JK) halafu ulalamikie malezi. Hujitambui wewe, umekuwa kama msukuke tu.
wewe ndio umeleta hoja ya malezi kuwa watoto wanahitaji kulelewa na baba na mama acha kuruka kimanga pitia posts zako ni wewe ndio umeandika..au una matatizo ya kumbukumbu..?,nakwambia tena kama unadvocate abortion ina maana hurespect kuwa mtoto once conceived ana right to live,sasa kama huheshimu hii kanuni utaongeleaje malezi ya watoto?? concerned na welfare yao?..be real..
eti vijana wasioe single mothers..wana nini?? au ukizaa na kuwa single mother unageuka kuwa jini..au zimwi mla watu??wewe ni mwanaume hivi ungesema the same thing kama wanaume ndio wangekua wabebaji za hizo mimba?and yes wewe ni muuaji,yeyote anaefanya abortion au anayesuport abortion,unfortunately hakuna kuremba ni muuaji....halafu hio sex evolution ni wewe unaongea..hata sijui madudu gani....