Wote ni wewe tu mwenye id kibao. Whom do you think you are fooling, tunza uanamke wako. Simama kwenye nafasi yako otherwise unatoa signals fulani kwa jamii
Usiseme tutaendelea kipinga, sema utaendelea kupinga,here is a reason for that as well.
Akitokea wa kufuata huu ushauri wako nae amepotea kama wwDada zangu nisikilizeni. Swala la kumzalia mwanaume hajakuoa life. Pata mimba toa ibaki siri yako moyoni.Yani ua kizazi chake Mpaka siku atakuoa na kukufanya mke. Hawa wanaume ni wa###nzi sana. Kwanini umzalie mtu atakuacha, kukutukana, utaharibu mwili wako na ku dissapoint wazazi wak na kujipa majukumu ya kulea kitoto cha mtu maisha yako yote.No ndoa no watoto. Piga game tumia usichana wako unavyotaka.
1%Yes tutaendelea kukupinga,and certainly sijakupinga peke yangu kwenye hii topic..
Chukua ushauri, nawe utapata amaniyaaani niingie na ID nyingine kujibu huu upuuzi wako..mbona unajipa umuhimu ambao huna?.. signal gani na huku wote ni anonymous?? Unajuaje Rebeca kama ni kipanya kina type...?? signal gani unayopata huko?lol
Chukua ushauri, nawe utapata amani
Kuacha kugawa uchi hovyo, chastityUshauri upi? huo wa kutoa mimba?
Kuacha kugawa uchi hovyo, chastity
Umerusha mawe gizani na wahusika yamewapata. Naona uzi unakimbia na wahusika wanakuja na hasira. Ila nimekuelewa sana 100%. Kinga ni bora kuliko tibaKuacha kugawa uchi hovyo, chastity
Umerusha mawe gizani na wahusika yamewapata. Naona uzi unakimbia na wahusika wanakuja na hasira. Ila nimekuelewa sana 100%. Kinga ni bora kuliko tiba
Sikitaki, sitaki kushiriki uchafu, chastity!Kila mtu amebarikiwa na chake...tumia cha kwako unavyotaka,cha mwenzio hakikuhusu..kuwa na mipaka!
Sikitaki, sitaki kushiriki uchafu, chastity!
Ewe mwanamke, nani kakushauri utoe mimba? Hoja hapa acheni kugawa hovyo, subirini ndoa. Kutoa mimba hakukufanyi kuwa bora bali utabaki kuwa kahaba. Muwe na break, msubiri mpaka ndoa.eti wahusika wameyapata,hivi mlidhania hii thread itawekwa hapa JF bila response ya wanawake wengine???wote wewe na yeye hamkupata mapenzi ya mama,either alikufa mkiwa wadogo au kila saa alipokua anaku comfort/kukuonyesha affections alikua anapingwa au hata kupigwa na baba yenu kisa anawa 'dekeza'...mmelearn vibayaaaaaaaaa kuwa kwenye Familia kuna Authority na tabala..mama/mwanamke ni of lower status....poleeeeeeeeeeeeni..yaani tutoe mimba sababu tubaki wasichana? hovyoo
Ewe mwanamke, nani kakushauri utoe mimba? Hoja hapa acheni kugawa hovyo, subirini ndoa. Kutoa mimba hakukufanyi kuwa bora bali utabaki kuwa kahaba. Muwe na break, msubiri mpaka ndoa.
Sina muda navyo, najitambuaJiapize ukitaka! ila vya wenzio, ..NO!
Wapi nimesema utoe mimba? Utakuwa unaotasasa hivi unajifanya unapinga kutoa mimba?..wewe hujitambui..
Sina muda navyo, najitambua
Wewe wasema.muda unao, unaandika liuzi lireeefu kushusha hasira zako juu ya wanawake ..single mothers,it bothers you..ndio maana ukaandika..huna sababu nyingine yoyote