Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Single mama bila mwanaume wa kumsaidia (danga)
ni ngumu.
Mchana unamuona anapambana huku na kule juani, unasema kabisa huyu mama anapambana sana,
na kumbe ikifika jioni anajisogeza kwa jibaba fulani linampa pesheni.
 
Stereotype! Si wote hivyo mkuu wapo unaona kabisa alikuwa hapa na akafika hapa.
Na juhudi zake zinaonekana kwa matokeo yanayoonekana boss
Single mama bila mwanaume wa kumsaidia (danga)
ni ngumu.
Mchana unamuona anapambana huku na kule juani, unasema kabisa huyu mama anapambana sana,
na kumbe ikifika jioni anajisogeza kwa jibaba fulani linampa pesheni.
 
Upo sahihi kabisa.

Pia kuna wengine wanawake mahitaji ya pekee yake tu yanamshinda ila hawa wanaweza pamoja na mtoto.

Ndoa zingine ule msemo wa ndoa ndoano ndio hapo unakuta hakubahatika kupata mwanaume anaejitambua (Hajui responsibility) ya kuwa mume. Hapa majukumu yote yanamuangukia mwanamke.
Mwanamke yeyote anayepambana kupata mahitaji ya kwake na ya wanae a nastahili kupewa pongezi, wengine wapo ndoani lakini show zote wanasimamia wao ni kama single moms tu.
 
Huwa ninashangaa kwa kweli, akati huyo unayemkimbilia ana mke na wtt na hawez kumuacha....wanawake sisi ata sijui mwalimu wetu nani..ni ujinga kabisa huo...km alikuwa ankpnd kwnn alikutelekeza?
 
Ndio nilisema badala ya kuoa single mother better nikae bila mke, FULLSTOP, hata aniambie vipi, tuliachana oo mara hii oooo mara hatuwezi rudiana, mtu ambae walizaa nae hatamsahau kabisa, pengine awe saa hii ni marehemu, hata kaa ameoa bado watakuwa wanafanya ile mambo, siwezi oa single mother
 
Ahahaha hujapenda bd ww
 
Marrianah uko powa kabisa? Nimekumiss sana mrembo [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…