Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hapana.

na pia ili hasiwe gogo hahitaji kulala na wanaume wengi au tofauti tofauti
Kwahiyo mwanamke bikira anaweza akawa anajua staili zote bila kufundishwa??

Labda umfundishe wewe na kabla hajajua ni lazima uvumilie ugogo wake siku za mwanzo!!
 
Aijaona shida hapo, unajua undani wa ex wake na wa mume alieolewa nae...? Kama hujui nami sijui tukae Kimya tu!
 
Kwahiyo mwanamke bikira anaweza akawa anajua staili zote bila kufundishwa??

Labda umfundishe wewe na kabla hajajua ni lazima uvumilie ugogo wake siku za mwanzo!!
Sijakataa kuvumilia ugogo. Ukweli ni kwamba mwanaume anachohitaji ni utelezi tu. Hizo mambo za kutafuta style sijui mambo gani hazina umuhimu wowote kwa mwanaume.
 
Siwezi staili hata moja
Kwani idea ya style imeletwa na nani kama sio pressure za makundi ambayo ki msingi huwa hayapo wakati mnagegeda. Hata mkigegedana huko mmoja anapika chapati it's upon yourself
 
sasa umekataa nini na umekubali nini!
 
Kwenye yale mambo mkuu,inabidi uwe muhuni tu.....hata kama unahubiri injili,injili weka pembeni kwanza.
Si kweli, huelewi chanzo cha uhuni na una mafundisho potofu. Hiyo no roho ya uhuni na ukahaba. Kizazi hiki kimepofushwana ndio maana kinaishia kuongeza saizi n.k. Ziko sababu za msingi kwa nini mwanamke awe hivyo unavyodhani kila mwanamke anapenda kufanyiwa. Chunga sana unapotaka kuoa, je unaoa mke wa ndoa au ndio unajiunga na kundi la wengi la bora liende!?
 
Wala sijamaanisha hilo ulisemalo, nilipotolea mfano wakukaa kama gogo ni kujibu hoja ya kuridhika kwa mwanaume, mengine niprogramming tu. Unadhani kwa nini mwanamume anabaka na anaridhika? Kiuno ni mambo ya maboresho tu, na wanawake wengi wanajua hiyo art. Tofauti inakuja pale mnapoanza kudai kukunjana kama mkizi, ama mara kichwa chini miguu juu, mara sijui popo kanyea nini n.k. hayo mambo ni mind programming tu, wala hayana uhalisia. Mwanamke ana namna yake natural ya kushughulika na mwanamume kadhalika.

Kuhusu kuoa kahaba, kama unaoa mwanamke aliyetolewa bikra na wanaume wengine tusemeje? By the way ni Biblia ndio imesema hayo, si mimi.
 
Sijakataa kuvumilia ugogo. Ukweli ni kwamba mwanaume anachohitaji ni utelezi tu. Hizo mambo za kutafuta style sijui mambo gani hazina umuhimu wowote kwa mwanaume.
Sasa kama hazina umuhimu kwanini wanaume wanazihangaikia sana na inaonesha wao ndiyo wanazihitaji sana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…