Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kwahiyo mwanamke bikira anaweza akawa anajua staili zote bila kufundishwa??Hapana.
na pia ili hasiwe gogo hahitaji kulala na wanaume wengi au tofauti tofauti
Labda umfundishe wewe na kabla hajajua ni lazima uvumilie ugogo wake siku za mwanzo!!