Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Hata iwe miaka 20 wakija onana lazma aliwe, afu mtoto huyo jamaa haudumii??
mkuu, unachobishi ni kitu gani? acha kuita wanaume kuwa wana ukosefu wa akili. tumia lugha ya staha.
cha msingi toa ushauri wako juu ya mada iliyomezani basi, sio kutoa matusi dhidi ya wachangiaji wengine.
samahani kama nimekukwaza.
mkuu, unachobishi ni kitu gani? acha kuita wanaume kuwa wana ukosefu wa akili. tumia lugha ya staha.
cha msingi toa ushauri wako juu ya mada iliyomezani basi, sio kutoa matusi dhidi ya wachangiaji wengine.
samahani kama nimekukwaza.
Mbona akina magufuli,kikwete,mbowe,zitto etc wanaandakwa sana jf kwa mazuri na mabaya ila jf hawafutiMods futeni huu Uzi unaiumiza Sana familia nimeongea na mch mwakasege mwenyewe amenithibitishia kuumizwa Sana huu Uzi naomba mods muwasiliane na mch mwakasege muone msimamo wake mthibitishe otherwise ufuteni plz mods tujali hisia za familia kwa mpendwa wao.
Mkuu Mwl Mwakasege simpati kwenye cm yake nipm no yake active.Mods futeni huu Uzi unaiumiza Sana familia nimeongea na mch mwakasege mwenyewe amenithibitishia kuumizwa Sana huu Uzi naomba mods muwasiliane na mch mwakasege muone msimamo wake mthibitishe otherwise ufuteni plz mods tujali hisia za familia kwa mpendwa wao.
Mkuu nimepitia hilo jina IG ni kisu hatari!!"Anaitwa lilian Kamazima aliwai kuwa miss Tanzania 2014 to 2016 yupo instagram anatumia jina ilo ilo kama unataka picha yake
Ahsante, hujambo?Umenena vyema
that's the sign of maturity &wisdom. to urge for forgivenessSamahani Kama umekwazika
Mimi sijambo, hofu kwako mremboAhsante, hujambo?
Mimi sijambo, hofu kwako mremboAhsante, hujambo?
Do you have something to say?Mimi sijambo, hofu kwako mrembo