Ukuta wa wino
Member
- Oct 20, 2019
- 94
- 621
Kwa hiyo mtu asitoe mawazo yake?
Mimi ndio muoaji nimesema nisingeweza oa jitu lililozalishwa. Hao sijui Dada shangazi kwani nawaoa mimi?
Kama kazalishwa atajijua yeye
Pole sana kwa kutiwa mimba na kukimbiwa
Very true....Dah!
Inasikitisha sana.
Kijana mdogo, msomi, kutoka familia ya kiimani akapoteza maisha ghafla.
Sijui Joshua alikwama wapi mpaka kwenda kuchukua mwanamke wa ajabu ajabu, mdangaji, malaya, msanii wa bongo flavour?
Hivi Joshua kweli alikuwa anatambua heshima na namna ya wazazi wake wanavyoheshimika katika jamii?
Nilichoweza kujifunza kikubwa sana ni kuwa, kijana hupaswi kuwa mjuaji mnoo wa kimaisha, kubali kuongozwa na ukionywa kubali kuonyeka. Kiburi ni kaburi.
Naona unanitafutia mapovu wewe"Habari za mchana Great thinkers japo kuna wengine humu ni Zero brain" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna aina mbili za single mothers; hapo nimemaanisha nina ninaowakubali na nisio wakubali. niongeze sauti?
Subiri ipo siku hilo limbwata litaisha nguvu jamaa akili zitarudiWaambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa
Acha kudanganya watu ili uchekeshe umatiWaambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa
Usitetee ujinga wako. Kwanini wengine wajitunze nyie ndo mzae. Akizaa ni yeye asipoolewa ni yeyeOngea haya kama hauna kizazi ila kama una kizazi jaribu kufunga mdomo wako
Ni yule yule unaemsema kila siku kwenye asilimia 90 ya nyuzi zako, au ni mwingine?Waambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa
Waambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa
Huu ndio ujumbe wangu kwako, baada ya kuvumilia sana maumivu hayaSHUZI LIMEPATA MJAMBAJI..... nasubiri na wengine...watakuja tuuu..they cant run away from temptation of 'slaughtering' a woman here in JF..lol...sad in a way!
Huu ndio ujumbe wangu kwako, baada ya kuvumilia sana maumivu hayaView attachment 1266309
Ohhh, ujumbe nimeupata.π π π [emoji7]
Hata Siku moja usijaribu kuandika/kusema hivi mbele ya umma ..tena futa hii kauli