Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mimi nina aunty yangu ni single mother... Kwa jinsi watu wanavyosema na ninavyo muona yule aunty yangu....... Naomba Mungu anijalie mke mwema tutakao anza wote kupata watoto
 
Kwa hiyo mtu asitoe mawazo yake?
Mimi ndio muoaji nimesema nisingeweza oa jitu lililozalishwa. Hao sijui Dada shangazi kwani nawaoa mimi?
Kama kazalishwa atajijua yeye
Pole sana kwa kutiwa mimba na kukimbiwa

Ongea haya kama hauna kizazi ila kama una kizazi jaribu kufunga mdomo wako
 
Dah!
Inasikitisha sana.
Kijana mdogo, msomi, kutoka familia ya kiimani akapoteza maisha ghafla.

Sijui Joshua alikwama wapi mpaka kwenda kuchukua mwanamke wa ajabu ajabu, mdangaji, malaya, msanii wa bongo flavour?
Hivi Joshua kweli alikuwa anatambua heshima na namna ya wazazi wake wanavyoheshimika katika jamii?

Nilichoweza kujifunza kikubwa sana ni kuwa, kijana hupaswi kuwa mjuaji mnoo wa kimaisha, kubali kuongozwa na ukionywa kubali kuonyeka. Kiburi ni kaburi.
Very true....
 
Waambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa
Subiri ipo siku hilo limbwata litaisha nguvu jamaa akili zitarudi
 
Waambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa
Ni yule yule unaemsema kila siku kwenye asilimia 90 ya nyuzi zako, au ni mwingine?
 
Waambie....mi single m na nineolewa na jamaa anahela chafu na hata leo nikimwambia tuachene anapiga magoti anaomba msamaha kwa kosa langu....hao wanapiga kelele tu jf hapa

Safi kbs..haya makelele yapo jf tu!huku mitaani single maza wanaolewa nno mno!kuna jiran ameolewa ana watoto wanne!kanunuliwa had ndinga!ni ka umaskini ka akili tu!
 
Root,
kama tatizo ni kulinganisha basi hata kama hajazaa jua utalinganishwa tu na x ni hesabu za mlinganyo tu
 
@naina19,Mungu yupi huyo anayebariki uzinzi? Chastity ndio habari uenyewe. Watu waache uzinzi na ukahaba, mapenzi kabla ni kumkufuru Mwenyezi Mungu. Roho ya ukahaba na umalaya ndiyo itendayo kazi halafu tunamlalamikia Mungu.
 
SHUZI LIMEPATA MJAMBAJI..... nasubiri na wengine...watakuja tuuu..they cant run away from temptation of 'slaughtering' a woman here in JF..lol...sad in a way!
 
SHUZI LIMEPATA MJAMBAJI..... nasubiri na wengine...watakuja tuuu..they cant run away from temptation of 'slaughtering' a woman here in JF..lol...sad in a way!
Huu ndio ujumbe wangu kwako, baada ya kuvumilia sana maumivu haya
c3440b18efb2e9b07faf969493c76f4f.jpeg
 
Back
Top Bottom