Emu nitofautishieHuu ujinga wa kushindwa kutofautisha maneno LEAVE na LEFT utaishi lini ?
Mkuu kazi ya kanisa kuna kusepa na kapu la sadaka pia...hahahaWanafanya kazi ya kanisa
You are welcome my dearestThank you [emoji122]
Njoo pmEmu nitofautishie
Mkuu mambo vipi? Una mtoto?Sasa hii unatupa break ama unataka tuanze kuzungumziwa tena, walewale tu fyuuu
Poa mkuu, hujambo !, hapana sinaa, vipi kwanii[emoji30]Mkuu mambo vipi? Una mtoto?
Nikujibu au nikusamehe mamdenyi naonaUtukomeeee! Shit!
Utaisha dada yako akiolewaHuu ujinga wa kushindwa kutofautisha maneno LEAVE na LEFT utaishi lini ?
Inaonekana hivyo😊😊Paula Paul sio rahisi huyo kukuelewa hahaa
FreshNikujibu au nikusamehe mamdenyi naona
Utaisha dada yako akiolewa
Haijalishi mahari yapaswa kutolewa,Duuuuh haijalishi ni single mother
Kuwa single mother hakumuondolei hadhi kama mke mtarajiwa. Ndio maana ukampenda na ukaridhika awe mchumba wako na hatimaye mkeo baadaye.Wakuu habari
Nahitaji ushauri je taratibu zikoje kabla kufikia ndoa na single mother je natakiwa kulipa mahari kwa single mother?