Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwani single mother ni nini? Single mother, single mother,
 
Tumefikia huko?
Mahali lazima utoe mzee baba, taratibu ni zile zile za sawa na binti kigori.

Kuwa single mother hakujapunguza utu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza bora yeye alizaa maana mabinti kigoli wanafanya sana prosija wasionekane wamezaa kumbe wamezaa mara nyingi watoto hawaonekani
 
Wengi hudhani mwanamke kua single mother maybe katumika sana hivo hastahili mahari...
hii ni dhana mbaya tuiache, kuna wadada wamekua single mother kama ajali tu bt wanajiheshim mno kuliko hata hao mabinti
 
vijana wengi hudhani single mother hua wametumika sana hata kuwaona hawastahili mahari...
bt kuna single mother wamekua tu kama ajali bt wanajiheshim nakujitunza kuliko hata mabinti, hivo tuifute dhana mbaya kwa hawa single mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…