Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

tukiwaambia msioe hamtaki kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama.umempenda kuwa nae, hata hao ambao hawajoa single mothers Bado wanachapiwa tu...kwaiyo kuchapiwa Ni yabia ya mtu...sio kwasababu eti Ni single.mom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heti alipata pregnant kwa bahati mbaya hahahaaa

Kwani alijikwaa akadomdokea mb** ?

Broh hata nikikueleza sasa hutonielewa ila wewe endelea nae ila.. ila.... muda utanena na hapo ndio utafunguka kiakili.....
 
inaonekana alipata pregnant kwa bahati mbaya
Mkuu kwa heshima zote; alipata pregnancy ndio akawa pregnant. Pregnant ni huyo mwanamke mwenye mimba, pregnancy ni mimba.
 
Mkuu endelea tu, Kila mtu ana kiwango na uwezo wake wa kupambana na Changamoto aina fulani. Labda wewe utatoboa katika hiyo inayokuja sababu Ni Lazima itafika wakati na saa....
ile connection ya Mama, baba na mtoto si rahisi kuivunja labda Mmoja wao awe Kaburini.
 
Nawashanga waislam wale wanajifanya kindakindaki alafu wanawaponda singo mother, wakati mtume wao mohamed alioa singo mother tena huyo singo maza ndiye aliyempa na huo utume.
 
Ngoja waislamu watujibu , hivi mtume alilipa mahali kwa single mother bi hadija?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…