Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Yani posts za Jf zinaweza kukufanya ukayachukia maisha na kujiona wewe hufai duniani, mnakuwa mnajeruhi mioyo ya watu sema hawana tu pakusemea.

Mwingine ni single Mother, ukute alibakwa huko na mimba juu, akiona post kama hii anakumbuka machungu ya kubakwa, tena mmesema hamuoi single mother ndy anapata stress kama zote,

Mwingine mume kitombi kaamua apumzike zake alee watoto wake, akiona post kama hii atahisi dunia ya uchungu maana anahisi hata yule tu wa kumkaza mara moja moja hata mpata maana hamuwataki single mothers.

Sababu nyingi tu zinafanya mtu kuwa single mother muache tabia yenu ya kuhukumu watu, mkumbuke tu hizo mimba hazikujileta zenyewe, ni za wanaume kama nyie.

Mkwendreeeeeeeee na stress zenu za maisha huko, tafuteni hela na maisha, afute aliyeleta hii post lina watoto kila mtoto na Mama yake na hata hiyo bikra hakukuta ila huku linafanya kuponda wakati kazi kuzalisha tu vidada vya watu

Na wanaolewa sana tu,single mothers oyeeeeeeeeeeee. Baada ya miaka sita naunga telaaa.

POVU RUKSA SIJALI LA OMO WALA LA FOMA, SINGLE MOTHERS OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE,
 
Aidanna, ]Mkuu.

Wewe umeandika kwa wema lakini uwasilishaji wako umekaa kishabiki sana.

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake bwana.
 
Maisha hayakupi kile unachokitaka ila yanakupa unachostaili. Fuata kile unachoona kinafaa kwako na siyo mtu kasema. Kuna wanawake wameolewa na single dady na ndoa zao zinafuraha na pia kuna wanaume wameoa single mother na ndoa zao zimedumu. Kuna mambo yanatokea ambayo huwezi kuyadhibiti 100%.
1. Umeshawahi kuwa na mahusiano na watu wangapi?
2. Je, ni zaidi ya mmoja? kma ni ndiyo kwanini uliruhusu huyo mmoja mkaachana? Kwanini haujaolewa na huyo wa kwanza?
Una mke na mna watoto 3 na mkeo anaanza kukusaliti na kudharau unaamua kila mtu awe huru. Mwanamke anakutana na mwanaume, kumbe mwanaume anapita tu na mwanamke hajui. Anapiga mimba na anaingia mitini. Hapa nani wa kulaumiwa?
Kuoloewa na single father ni upumbavu wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda za ndoa za maSingle dadi na maSingle maza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kitu nilichogundua, ku date na singo maza ni raha sana. Kwanza, hua hawana shobo na maringo ya kitoto toto na kujisikia kama vidada vya chuo au vibinti vya geti. Yeye akishakuelewa ni basi we ukitaka mzigo anytime hawana longolongo. Pia wengi hua hawana mizinga ya ovyo ovyo na ikitokea anakupiga mzinga basi ujue ana ishu ya maana na sio eti ameona jinzi au pochi mpya anataka akanunue. Wengi pia hawapendi starehe au kunywa sana pombe, klabu nk maana mawazo yao hua kwa mtoto. Kiufupi wengi wanajielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…