Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sababu kuu ni hizi:-
1.UJINGA kwa visichana havijui siku salama.
2.Ujinga kwa walioolewa wanakuwa wabishi sana ndani ya ndoa.
3.ujinga kwa walioolewa wanataka wapate vitu au waishi maisha ambayo yapo nje ya uwezo.
4.wanaume wa sasa tunaogopa sana maisha/majukumu.
5.walioolewa kutaka kushindana na waume zao kusaliti ndoa,mwisho wa siku wanaachika
 
Kungononeka bila kinga na kuzaa na kila mtu bila mwelekeo. Hivi mfano mtu kama Aunt Ezekiel mwenye watoto 3 kila mmoja akiwa na baba yake nani atakayemuoa kama si kumpiga tu pumbu na kumzalisha tena kisha kusepa.
 
Ulaghai wa wanaume
Si kweli, asilimia kubwa ni udangaji wa wanawake.....unakuta mwanamke yuko ndoani ila anazaa na wanaume wengine kwa tamaa tu au kutotulia kwake kutokana na kuwashwa ile sehemu, mumewe wa ndoa akigundua anamuacha kisha mwanamke anahaha kama Mama Diamond kusingizia kila mwanamme mtaani kuwa ndiye baba wa mtoto fulani ili apate mtu wa kulea mabastards.
 
Kuna kipindi ulivuma upepo kuwa ukioa single mama unakuwa na uhakika wa uzazi, mabinti wengi waliingia kichwa kichwa hapo.

Ndoa imeshushwa thamani, vijana wanataka watoto tu... wengi wao wanasema wazi kabisa.

Jamii haikemei ngono, pamoja na zama za miwaya lakini ngono holela inapatikana kirahisi mno... yaani bwerere ni kupigana miti tu.
 
Men take responsibility........ I once dated a guy he wouldn’t have sex without a condom ...never... and if it happened he didn’t have a condom he would pull out. His reasoning was he was not ready to have a child . Was he financially stable? Yes but he has a timeline and a child was not part of the timeline now. I respect him even though things ended. He taught me to have goals and stand by them. Tatizo lenu wanaume wa kiafrika mpo selfish just because mimba hubebi wewe yani huna care kabisa we unamwaga unasepa. Reason yenu eti condom inapunguza utamu. Condom hazipunguzi utamu ukitumia zile expensive yani unaweza ukahisi jamaa hajavaa condom. Acheni condom zinazo gawiwa bure. I repeat MEN TAKE RESPONSIBILITY!! Stop being sperm donors. And ladies be responsible kama hujaolewa usibebe mimba ikitoke toa hiyo mimba acha ujinga.
 

Hapo mwisho umemalizia vizuri sana
 
Kinacho zungumziwa hapa ni mwana mke kuzalishwa na kutelekezwa kwa kujitakia.
soma heading vizuri, kwani masingle mama ni wale wanaozalishwa na kuachwa pekee!? vipi ndoa zinazoishia njiani, vipi wanaofiwa na waume zao!? au hawa wanakua ni ma-double mama sio single mamaz tena?
 
soma heading vizuri, kwani masingle mama ni wale wanaozalishwa na kuachwa pekee!? vipi ndoa zinazoishia njiani, vipi wanaofiwa na waume zao!? au hawa wanakua ni ma-double mama sio single mamaz tena?
Mkuu hawa waliofiwa ni single parent. Je? Wajane nao ni "single mother", nini maana halisi ya " single mother "?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…