Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu kuu ni umalaya, viburi, hawasikii na kupungua kwa hofu ya Mungu ktk jamii.
Watafiwaje na waume zao wakati hawajaolewa?Kufiwa na waume zao mbona haipo [emoji28]
Si kweli, asilimia kubwa ni udangaji wa wanawake.....unakuta mwanamke yuko ndoani ila anazaa na wanaume wengine kwa tamaa tu au kutotulia kwake kutokana na kuwashwa ile sehemu, mumewe wa ndoa akigundua anamuacha kisha mwanamke anahaha kama Mama Diamond kusingizia kila mwanamme mtaani kuwa ndiye baba wa mtoto fulani ili apate mtu wa kulea mabastards.Ulaghai wa wanaume
[emoji16][emoji16]Hahahah huku single mothers kule bikra
Jinsia ya kike JF inapata tabu sana
Men take responsibility........ I once dated a guy he wouldn’t have sex without a condom ...never... and if it happened he didn’t have a condom he would pull out. His reasoning was he was not ready to have a child . Was he financially stable? Yes but he has a timeline and a child was not part of the timeline now. I respect him even though things ended. He taught me to have goals and stand by them. Tatizo lenu wanaume wa kiafrika mpo selfish just because mimba hubebi wewe yani huna care kabisa we unamwaga unasepa. Reason yenu eti condom inapunguza utamu. Condom hazipunguzi utamu ukitumia zile expensive yani unaweza ukahisi jamaa ahajavaa condom. Acheni condom zinazo gawiwa bure. I repeat MEN TAKE RESPONSIBILITY!! Stop being sperm donors. And ladies be responsible kama hujaolewa usibebe momba ikitikea toa hiyo mimba acha ujinga.
soma heading vizuri, kwani masingle mama ni wale wanaozalishwa na kuachwa pekee!? vipi ndoa zinazoishia njiani, vipi wanaofiwa na waume zao!? au hawa wanakua ni ma-double mama sio single mamaz tena?Kinacho zungumziwa hapa ni mwana mke kuzalishwa na kutelekezwa kwa kujitakia.
Mkuu hawa waliofiwa ni single parent. Je? Wajane nao ni "single mother", nini maana halisi ya " single mother "?soma heading vizuri, kwani masingle mama ni wale wanaozalishwa na kuachwa pekee!? vipi ndoa zinazoishia njiani, vipi wanaofiwa na waume zao!? au hawa wanakua ni ma-double mama sio single mamaz tena?
Bora tu useme maana hii imeshakuwa shida.Naombeni muwaache hawa wamama waishi kwa amani mwaka huu, maan kila kona singo mama, singo mama dah ebu muwaache.