Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Lakini kunasababu niliyoitaja, MTEGO WA MIMBA. Mwanaume hayuko tayali kuanzisha familia na mwanamke, halafu yeye anaenda kumutegeshea mimba.

Huoni kama hilo ni tatizo la mwanamke?
Hapana,tatizo linaanzia kwa mwanaume

Kama hauko tayari kuanzisha familia na fulani,unatakiwa kukwepa MITEGO midogo midogo kama hiyo kwa kutumia condom
 
Men take responsibility........ I once dated a guy he wouldn’t have sex without a condom ...never... and if it happened he didn’t have a condom he would pull out. His reasoning was he was not ready to have a child . Was he financially stable? Yes but he has a timeline and a child was not part of the timeline now. I respect him even though things ended. He taught me to have goals and stand by them. Tatizo lenu wanaume wa kiafrika mpo selfish just because mimba hubebi wewe yani huna care kabisa we unamwaga unasepa. Reason yenu eti condom inapunguza utamu. Condom hazipunguzi utamu ukitumia zile expensive yani unaweza ukahisi jamaa hajavaa condom. Acheni condom zinazo gawiwa bure. I repeat MEN TAKE RESPONSIBILITY!! Stop being sperm donors. And ladies be responsible kama hujaolewa usibebe mimba ikitoke toa hiyo mimba acha ujinga.
Aisee i really dont know you but i like how you expressed this..
 
Sitawahi kukubaliana na mwanamke anayetaka kufanya abortion kamwe...

Mimi mwanamke niliyempa mimba the same month nilijitambulisha kwao, nikatoa mahali.

Mke wangu ana wivu ila ikitokea nimechepuka nimempa mwanamke mwingine mimba, I will tell her na mama yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo la kuolewa linawatesa Dada zetu...wakishakuona kwako wakarizika kiasi plus peer pressure wanayokutana nayo, anaanza kuwaza anaweza kuwa mkeo hapa atajiachia kama mke mwishowe mimba..hapa akijua kipato chako anajua kabisa huyu anaweza kuja kwetu kutoa mahali kumbe naye boy anawaza mipango àjenge kwanza au anunue gari...mimba ikishatokea na baba hakuwa tayari kuwa baba muda huo ugomvi unatokea then binti anazidi kupanic anapoona anazalia nyumban (anahisi watu wameanza kumdharau) na wengi hapa wanatumia mtoto kama fimbo ya kumuadhibu mwanaume kuombwa hela kwingi mwishome me nae anaona huu ni ufala liwalo na liwe. hapo hao wawili ndoa inakuwa ishaota mbawa.
Hapo kwenye hela ni bonge la point..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ujawajulia tu Single Mums! Jifanye unampenda yule mtoto! Weeeeeeee! Atakupendaje hai ku sweep the ocean for you!

1.Rule LOVE THE KID
2.Rule Muunge mkono kuwa the baby dady ni ingrorious batsard! Ila yeye huyo mama hana makosa na si wakulaumiwa!
3.Rule muahidi Mtoto wenu atazaliwa ndani ya ndoa!

Hapo utapiga hadi basi!
Bado ni unyanyasaji haswa kwa single moms,mnatukosea Sana pale ambapo ubakuta huna malengo nae kumpumbaza kujidai unamlenda mtoto wake mwisho wa siku u end up ukidharau single moms, that's not fair for sure na hio trick yenu tushaijua...[emoji57][emoji57]shame on u
 
Mwanaume mwenye akili asiyeongozwa na nyege anatakiwa kutumia condom kama hana malengo na anayemphuck

Hauko tayari kuanzisha familia halafu unaenda kavu kavu?
Na wewe kwa nn uje kichwa kichwa.
 
Bado ni unyanyasaji haswa kwa single moms,mnatukosea Sana pale ambapo ubakuta huna malengo nae kumpumbaza kujidai unamlenda mtoto wake mwisho wa siku u end up ukidharau single moms, that's not fair for sure na hio trick yenu tushaijua...[emoji57][emoji57]shame on u
Msipende kutoa hovyo hovyo
 
Hapana,tatizo linaanzia kwa mwanaume

Kama hauko tayari kuanzisha familia na fulani,unatakiwa kukwepa MITEGO midogo midogo kama hiyo kwa kutumia condom
Hivi unajua maana ya dudu kusimama?
 
Why should you be a priority ?

Mama, mchumba, partner/mke.., hizi zote zina mapenzi tofauti, hata akiwa partner wako bado watoto wana nafasi ya mapenzi ya mama yao ambayo ni tofauti na mapenzi anayokupa wewe.. would you rather date a mother who care less about her kids...

Mapenzi ya mama kwa mtoto ni natural ikiwa tofauti kuna walakini.., wewe vumilia kiasi cha mapenzi unachopewa na usitake kuleta competition au kuingilia kati ya mtoto na mama yake
Ok!
 
Men take responsibility........ I once dated a guy he wouldn’t have sex without a condom ...never... and if it happened he didn’t have a condom he would pull out. His reasoning was he was not ready to have a child . Was he financially stable? Yes but he has a timeline and a child was not part of the timeline now. I respect him even though things ended. He taught me to have goals and stand by them. Tatizo lenu wanaume wa kiafrika mpo selfish just because mimba hubebi wewe yani huna care kabisa we unamwaga unasepa. Reason yenu eti condom inapunguza utamu. Condom hazipunguzi utamu ukitumia zile expensive yani unaweza ukahisi jamaa hajavaa condom. Acheni condom zinazo gawiwa bure. I repeat MEN TAKE RESPONSIBILITY!! Stop being sperm donors. And ladies be responsible kama hujaolewa usibebe mimba ikitoke toa hiyo mimba acha ujinga.
Killer
 
Aisee pole sana mdau kuoa single mother sio opportunity ya ndoa kutokuwa na mikwaruzo,mm ni shahid nimekutana na single mother nimemhandle na kumjali mpaka nakumbuka ipo siku alikiri kwa mdomo wake kuwa mm ndio mwanaume nilieweza kumrudishia tena furaha maishani mwake lkn alichokuja kunifanya siwataman tena single mama
Alifanya nn mkuu.
 
We ujawajulia tu Single Mums! Jifanye unampenda yule mtoto! Weeeeeeee! Atakupendaje hai ku sweep the ocean for you!

1.Rule LOVE THE KID
2.Rule Muunge mkono kuwa the baby dady ni ingrorious batsard! Ila yeye huyo mama hana makosa na si wakulaumiwa!
3.Rule muahidi Mtoto wenu atazaliwa ndani ya ndoa!

Hapo utapiga hadi basi!
Huyu dada Lara 1 amepotelea wapi?
 
Baadhi uliyoandika ni kweli sababu nimeshuhudia na mengine kuona.
Kuna mdada alikua ana watoto wawili na anataka mahusiano lakini sharti lake kubwa ni watoto wake wapendwe, baadaye aka jisahau akasema yeye kuzaa basi tena, watoto keshapata ingawa muda huo yupo kwenye penzi jipya.
Kashaolewa tayari?
 
Back
Top Bottom