Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Lakini kunasababu niliyoitaja, MTEGO WA MIMBA. Mwanaume hayuko tayali kuanzisha familia na mwanamke, halafu yeye anaenda kumutegeshea mimba.

Huoni kama hilo ni tatizo la mwanamke?
Hapana,tatizo linaanzia kwa mwanaume

Kama hauko tayari kuanzisha familia na fulani,unatakiwa kukwepa MITEGO midogo midogo kama hiyo kwa kutumia condom
 
Aisee i really dont know you but i like how you expressed this..
 
Sitawahi kukubaliana na mwanamke anayetaka kufanya abortion kamwe...

Mimi mwanamke niliyempa mimba the same month nilijitambulisha kwao, nikatoa mahali.

Mke wangu ana wivu ila ikitokea nimechepuka nimempa mwanamke mwingine mimba, I will tell her na mama yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye hela ni bonge la point..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado ni unyanyasaji haswa kwa single moms,mnatukosea Sana pale ambapo ubakuta huna malengo nae kumpumbaza kujidai unamlenda mtoto wake mwisho wa siku u end up ukidharau single moms, that's not fair for sure na hio trick yenu tushaijua...[emoji57][emoji57]shame on u
 
Mwanaume mwenye akili asiyeongozwa na nyege anatakiwa kutumia condom kama hana malengo na anayemphuck

Hauko tayari kuanzisha familia halafu unaenda kavu kavu?
Na wewe kwa nn uje kichwa kichwa.
 
Msipende kutoa hovyo hovyo
 
Hapana,tatizo linaanzia kwa mwanaume

Kama hauko tayari kuanzisha familia na fulani,unatakiwa kukwepa MITEGO midogo midogo kama hiyo kwa kutumia condom
Hivi unajua maana ya dudu kusimama?
 
Ok!
 
Killer
 
Alifanya nn mkuu.
 
Huyu dada Lara 1 amepotelea wapi?
 
Kashaolewa tayari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…