Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Hapana,tatizo linaanzia kwa mwanaumeLakini kunasababu niliyoitaja, MTEGO WA MIMBA. Mwanaume hayuko tayali kuanzisha familia na mwanamke, halafu yeye anaenda kumutegeshea mimba.
Huoni kama hilo ni tatizo la mwanamke?
Kama hauko tayari kuanzisha familia na fulani,unatakiwa kukwepa MITEGO midogo midogo kama hiyo kwa kutumia condom