Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kitu gani mkuu
 
Hatimaye mrejesho chanya wa kwanza. Hili swala ni gumu sana kila nikitaka kumwambia Singo maza wangu nakuoa nakuta mada mpya humu wakisemwa..... NAO NI WANAWAKE KAMA WANAWAKE WENGINE NA WANASTAHILI UPENDO PIA.
Ushaoa makuu mrejesho?
 
Hivi mfano,
Unamchukua mtoto wa mkeo sio
Unaamua kumlea ili kukataa mawasiliano ila baba mzazi anataka shule za private za 2m Tsh ambazo kwako ni shida .
Utamuudumia kwa kigezo cha kukataa mawasiliano na ili mama akupende.
 
Ishu ni kupelekq mtoto wa kwa Baba , mtoto ni mali ya Mwanaume
 
Mliishiaje mkuu malizia
 
Pole sana ulifunga nae ndoa?
 
Duu pole yake.
Kashaolewa ila.
 
Mimi kitu ninachowaza kuwa ni kigumu ni ile kuingia kuishi na mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwingine..hilo ndo tatizo tu
Ukiishi na mtoto pia ni sawa na kuishi na familia ya mtu.
Kwamba huyo mwanaume utakuwa anauwezo wa kuiingilia nyumba yako,
Coz unaishi na mtoto wake.
Pia unaishi na mzazi mwenzie.
 
Tafsiri ya single moms katika uzi huu ni wale wanawake ambao wanaume waliowazalisha wapo hai (hawajafa, siyo vichaa, na hawajafungwa gerezani) lakini kwa sababu yeyote butu, wameachana na waume zao.

Yesu, mjumbe wa habari njema ametukataza sisi wanaume kuoa single moms.

Mathayo 5:32
"Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini."
 
Hao sio laana mkuu, hujaelewa tu Bible na umeamua uitumie vibaya kuwakandia.....

Mtu anaweza akaachwa na Mumewe ila sababu ni mumewe ndio mkorofi so sio laana!

Kuna watu huku wamelelewa na masingle mother na kwao alikua baba na akawa mama ukimwambia mama yako ni laana na amempambania sidhani kama atakuelewa hata kidogo!

Pale imeonyesha kua tu siruhusa kumuacha mke wako, ama ukimuacha usioe na yeye aliyeachwa asiolewe tena, simple tu!
 
Kama wasema cha nini wenzio husema watakipata lini
 

Kwani tafsiri ya single maza ni mwanamke aliyeolewa na kuachwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…