Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Single with no kids but also schooling au fellowship ya wanaotaka waume?
Fanyeni machaguo sahihi, ukioa kwa kuangalia Degree nyingi za Mkeo ama Kazi nzuri ya Mkeo basi jua Mtakuwa Wanaume Wawili ndani ya Nyumba moja.

Oeni Wanawake wenye sifa ya kuwa Mama wa Watoto wako
 
Mbona unaongelea elimu....angalia dunia unayoishi now...Kuna power struggles .. zipo familia ambazo both parents wanaelimu na wanahela zao ndo nyingi zinaendelea afu inakuwa sio ishu kutunza familia. We unataka tuishi in an age ambao mwanamke alikuwa hasomi hafanyi kazi za nje etc Hilo in modern age lina faida na hasara zake...
 
NAKAZIA

NDOA NI UPUMBAVU

NDOA NI UTAPELI


WAJINGA NDIYO WANAOPIGWA
Mwamba capital letters are so scary, also connotes emphasis and louder rejections, umetisha sana.

The problem is self centered attitude for women, but that's is intrinsic though, to modify them through spiritual grooming takes time and it's for strong families only
 
NI MWENDO WA NYUNDO, WANAENDEKEZA UDANGAJI NA FEMINISM
WAKAOLEWE NA BABA ZAO KAMA NI RAHISI
 
🤣Unajua we huelewi...shida sio kuzalisha au kulea shida ni Ile ndoa..ule mkataba wa kisheria ndo watu wanaukwepa. We imagine unaoa afu mke anakucheat na mlinzi na bado anadai mamillion ya divorce si ukichaa huo ..Sasa yote ya Nini ..hatujakataa kuzaa sijui kulea ishu ni mkataba huo batili hatuutaki
 
🤣Asa kwa Nini ubeti...yaani ndoa ni kubet kabisa ...we skia Kama umeoa fresh huko miaka 70 cjui ambapo wanawake hawashindani kuenda hoteli tofauti...Ila saa hivi utaumia sana.
 
Hamna there were useful at its time ..tatizo binadamu tunaforce alichofanya babu na sisi tufanye wakati mambo yanabadilika
We urge those that are pro marriages to come up with a very solid, concrete and convincing issues that would drive us to buy their traditional idea. Otherwise we stand for kataa kuoa na tukatae ndoa.
 




Muasherati ambaye ajaoa anawateta single Kama.
 
Kwani ninyi kinachowafanya Mkatae Ndoa ni Kipi Mkuu wangu?

Maana Wanawake wa Enzi zetu ndiyo hap hao wenu, utofauti ni kuwa wale wetu hawakuwa wakitumia Smartphones, hawakuwa na Elimu kubwa.

Nyinyi wenu wanavyote hivyo, sasa shida ni ipi tujue namna ya kuwasaidia
 
Kwani ninyi ndiyo wakwaza kusaini hivyo vyeti vya ndoa?

Tulianza kusaini sisi miaka ile ya giza lakini hakukuwa na hofu eti mtagawana mali sijui baada ya kuachana.

Ili hayo yasitokee, hakikisha umefanya Chaguo sahihi.

Wapo wanawake hawajui kucheat hata kama watashawishika kwa milioni kadhaa.

Furaha yao ni Kukupenda wewe tu

Shughulika na hao Mkuu na ndoa yako utaiona inavyonawiri na kustawi kila siku
 
🤣Asa kwa Nini ubeti...yaani ndoa ni kubet kabisa ...we skia Kama umeoa fresh huko miaka 70 cjui ambapo wanawake hawashindani kuenda hoteli tofauti...Ila saa hivi utaumia sana.
Hakikisha unasimama kama Mwanaume ndani ya ndoa yako, Mwanamke siku zote anahitaji kupewa Kauli na maelekezo.

Mpende naye atakupenda na kukuheshimu
 
Hakikisha unasimama kama Mwanaume ndani ya ndoa yako, Mwanamke siku zote anahitaji kupewa Kauli na maelekezo.

Mpende naye atakupenda na kukuheshimu
Women Educational and economic empowerment says it all.
 
Hivi unajua 2010 na 2023 ni miaka 13 tu lakini hapo Kati Kuna mabadiliko sio ya dunia hii
 
Asa huko kubet walibet watu wenye dini watu wenye hela kina Steve Harvey ila bado wamecheatiwa asa kwani lazima jamani, we inakuuma nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…