Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

umetisha mkuu
 
Directly, single Maza wengi ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwa watoto kutokana na kwamba maisha wanayoishi niyakihunihuni unakuta single maza anadate wanaume tofauti tofauti .
Mtoto hua anakopy maisha wanayoishi wazazi au mzazi kama mzazi unaendesha maisha kihuni huni mtoto nae anakopi huo uhuni usishangae ukikutana na kitoto Cha 2000 kikaanza kukutongoza .
Single mom anaongea nasimu usiku tena za mabwana wake watoto wanasikia kila kitu just imagine inakuaje.
Kitoto cha juzijuzi kinajua kila kitu kama mtu mzima vile
Mwisho, usikubali mtoto wako akaishi Kwa single mama mchukue mwanao ukaishi nae asilimia kubwa ya masingle maza wanabadili wanaume sana mtoto Kila siku anaambia huyu ni uncle wako aisee maadili yanaanza kuporomoka kuanzia ngazi ya kifamilia hadi kitaifa.
Wewe ni mwanaume usikubali kulelewa mtoto wako.
 
Mkuu,
Unaweza kua nyanda na ukachezeshwa beki quoted from darasa cmb
 
Sasa singlef father wewe utamleaje?kumpeleka kwa ndugu au utaacha shughuli zako zzzote na kukaa kulea mtoto au utamtafutia mama mpya?
 
Umoja wa Wakulima nchini Tanzania tunafahamu mchango wa Serikali yetu katika kukuza, kuinua na kuongeza kipato kupitia programs mbalimbali hususan ruzuku ktk pembejeo.

Kutokana na msingi huo sisi Wakulima nchini tunaamini kwamba hata kama zipo changamoto kadhaa katika baadhi ya maeneo bado Serikali inaweza kuzitatua kwa njia nyingi za kidplomasia.
 
Wewe ni msemaji wao au umejipendekeza?
 
Kwani maandamano ya wakulima haya umeski nane nane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…