Directly, single Maza wengi ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwa watoto kutokana na kwamba maisha wanayoishi niyakihunihuni unakuta single maza anadate wanaume tofauti tofauti .
Mtoto hua anakopy maisha wanayoishi wazazi au mzazi kama mzazi unaendesha maisha kihuni huni mtoto nae anakopi huo uhuni usishangae ukikutana na kitoto Cha 2000 kikaanza kukutongoza .
Single mom anaongea nasimu usiku tena za mabwana wake watoto wanasikia kila kitu just imagine inakuaje.
Kitoto cha juzijuzi kinajua kila kitu kama mtu mzima vile
Mwisho, usikubali mtoto wako akaishi Kwa single mama mchukue mwanao ukaishi nae asilimia kubwa ya masingle maza wanabadili wanaume sana mtoto Kila siku anaambia huyu ni uncle wako aisee maadili yanaanza kuporomoka kuanzia ngazi ya kifamilia hadi kitaifa.
Wewe ni mwanaume usikubali kulelewa mtoto wako.