Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Single maza hawana upendo mkuu wanatafuta mwanaume mpumbavu anamuigizia ili asaidwe majukumu ya kulea mtotoIla wana upendo, sijui ni maigizo ama vipi
Njoo pm chap kwa harakaHilo swali tafadhali lisijibiwe ki jazba.
Ukosefu wa maadili unatupeleka pabaya sana. U singo mama na u singo baba unakuja kwa njia tofauti lakini kuu zaidi ni hili la singo mama.
Nyumba zinazoitwa " vituo vya yatima", binafsi naziita vituo vya watoto waliokosa bahati. Kwa sababu vituo hivyo vimejaa watoto wenye wazazi wao, lakini kwa kuwa watu wameona ni biashara inayolipa, wanachukuwa vibali vya vituo hivyo na kuwajaza humo kujitengenezea kipato haramu.
Wengine wa hao watoto wa singo maza na singo faza, ni watoto tunaowaona wakilelewa na walezi wengine kabisa, ambao siyo wazazi wao. Kama vile bibi, shangazi, dada mama mkuu. Je kuna siri zipi nyuma ya pazia?
Nini kinachosababisha u singo maza? Majibu yangu binafsi kwa uchache.
1) Wengi, pengine asilimia kubwa zaidi, za watoto wasio na bahati, hupatikana mimba kwa kujamiiana watu walio wa karibu kabisa, baba, mjomba, kaka, baba mdogo, baba mkubwa mpaka mababu.
Mashangazi, dada, mama mdogo, mama mkubwa nao wamo.
Watoto wanaopatikana ni kipi kitawazuwia wasiwe wa singo maza?
Wanasema "nyumba uloizowea kuihama ina kazi". Mtindo huo hujirudia sana tu.
Kuna kesi mbili tatu nazifahamu binafsi za namna hiyo, dunia haina siri.
Nyote, mnaoambiwa ni watoto wa singo maza msiowajuwa baba zenu, au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie babako" mjuwe baba zenu mnao na ni watu wenu wa karibu kabisa.
Tukiona Watanzania wengi ni mapoyoyo, hiyo nayo ni sababu ya kuwa na taifa lenye watoto wenye mapungufu.
Tatizo siyo wanaoitwa au jiita ma "singo mama" tu, kuna watoto wengi sana wanaoambiwa "mamako alikufa" au "babako alikufa", kumbe ni uwongo mtupu. Huyo baba au mama aliyekufa isibaki hata picha? Au ndugu zake?
Ma singo baba, sababu zao ni nini?
Tusilee uozo wa maadili.
Hivi unamjua mjane auWajane na singo Maza ni kundi moja, wanafanana kila kitu
Eeeeeh sio wote lknTena anakubali kutombwa kavu siku za hatari
Kila siku nasema na narudia tena
Single maza ni mwanamke mjinga sana:
●KWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake
●PILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba
Single maza ni laana
Watafute hata humu wajane wapo wengi SanaHivi unamjua mjane au
Umesema vyemaKwa kifupi hakuna tofauti kati ya single maza na malaya
Ndicho ulichojifunza kwenu hicho. Sikushangai.Njoo pm chap kwa haraka
SawaWatafute hata humu wajane wapo wengi Sana
Mkuu mwanamke atombwe mpaka azalishwe na mwanaume ambaye sio mume wake utasema huyo sio malaya?Eeeeeh sio wote lkn
DuhhhMasingo Maza ni malaya na mashetani wanaoishi duniani , Hilo kundi la singo Maza na wajane ni kundi la malaya waliokubuhu na hawatakiwi kuonewa huruma,
Ni kweli kabisaHao nao wapo, lakini ukitazama vizuri, hayo nayo yanaanzia majumbani kwao walikozaliwa au lelewa.
Swali ni je? Hao single maza wao wamelalamika chochote? Naona mnalalamika kwa niaba yaoSingle mother wanazidi Kwa sababu ya Kuzidi kwa Kule kujimwambafy wanawake na Kuendekeza Ufeminine kuiga wazungu..
Wazungu wao washazoea Kuwa masingle maza na wala hawana shida ila sisi Tunaiga na ndo maana tunapotea..
Chanzo kikubwa ni Ufeminine Kwishaaa
Aloooo duhhhTena anakubali kutombwa kavu siku za hatari
Kila siku nasema na narudia tena
Single maza ni mwanamke mjinga sana:
●KWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake
●PILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba
Single maza ni laana
Waliiwacha "empowerement" ya Mwenyezi Mungu, kwenye Qur'an ipo wazi kabisa, wakajifanya wao wanajuwa kuliko aliyewaumba, sasa wanaumbuka.Haya yote ni matoke ya agenda ya "women empowerment"...
Zitakuwa zimetolewa na malaika ambao ni wanaumeHizo bikra zimetolewa na nani?
NAKAZIAAloooo duhhh