DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Single mother wanazidi Kwa sababu ya Kuzidi kwa Kule kujimwambafy wanawake na Kuendekeza Ufeminine kuiga wazungu..Hilo swali tafadhali lisijibiwe ki jazba.
Ukosefu wa maadili unatupeleka pabaya sana. U singo mama na u singo baba unakuja kwa njia tofauti lakini kuu zaidi ni hili la singo mama.
Nyumba zinazoitwa " vituo vya yatima", bnafasi naziita vitiuo vya watoto waliokosa bahati. Kwa sababu vituo hivyo vimejaa watoto wenye wazazi wao, lakini kwa kuwa watu wameona ni biashara inayolipa, wanachukuwa vibali vya vituo hivyo na kuwjaza humo kujitengenezea kipato haramu.
Wengine hao watoto wa singo maza na singo faza, tunawaona wakilelewa na walezi wengine kabisa ambao siyo wazazi wao. Kama vile bibi, shangazi, dada mama mkuu. Je kuna siri zipi nyuma ya pazia?
Nini kinachsababisha u singo maza? Majibu ya ngu m inafsi kwa uchache.
1) Wengi, pengine asilimia kubwa zaidi, za watoto wasio na bahati, hupatikana mimba kwa kujamiiana watu wao wa karibu kabisa, baba, mjomba, kaka, baba mdogo, baba mkubwa mpaka mababu.
Watoto wanaopatikana ni kipi kitazuwia wasiwe wa singo maza?
Wanasema 'nyumba uloizowea kuihama ina kazi". Mtindo huo hujirudia sana tru.
Kuna kesi mbili ratru nazifajamu binafsi za namna hiyo, dunia haina siri.
Nyoie watiti wa singi maza msiwajuwa baba zenu, au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie babak" mjuwa baba zeu mnao na ni watu wenu wa karibu kabisa.
Tukiona Watanzania wengi ni mapoyoyo, hiyo nayo ni sababu ya kuwa na taifa lenye watoto wenye mapungufu.
Tatizo siyo wanaoitwa au jiita ma "singo mama" tu, kuna watoto wengi sana wanaoambiwa "mamako alikufa" au "babako alikufa", kumbe ni uoingi mtupu. Huyo baba au mama isibaki hata picha au ndugu zake?
Ma singo baba, sababu zao ni nini?
Tusilee uozo wa maadili.
Wazungu wao washazoea Kuwa masingle maza na wala hawana shida ila sisi Tunaiga na ndo maana tunapotea..
Chanzo kikubwa ni Ufeminine Kwishaaa