Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ila wana upendo, sijui ni maigizo ama vipi
Single maza hawana upendo mkuu wanatafuta mwanaume mpumbavu anamuigizia ili asaidwe majukumu ya kulea mtoto

Na huwa wanatombesha sana maana hawajui ni mwanaume yupi mjinga atanasa kulea bao la baba wa mtoto/watoto wake

Kwa kifupi hakuna tofauti kati ya single maza na malaya
 
Hilo swali tafadhali lisijibiwe ki jazba.

Ukosefu wa maadili unatupeleka pabaya sana. U singo mama na u singo baba unakuja kwa njia tofauti lakini kuu zaidi ni hili la singo mama.

Nyumba zinazoitwa " vituo vya yatima", binafsi naziita vituo vya watoto waliokosa bahati. Kwa sababu vituo hivyo vimejaa watoto wenye wazazi wao, lakini kwa kuwa watu wameona ni biashara inayolipa, wanachukuwa vibali vya vituo hivyo na kuwajaza humo kujitengenezea kipato haramu.

Wengine wa hao watoto wa singo maza na singo faza, ni watoto tunaowaona wakilelewa na walezi wengine kabisa, ambao siyo wazazi wao. Kama vile bibi, shangazi, dada mama mkuu. Je kuna siri zipi nyuma ya pazia?

Nini kinachosababisha u singo maza? Majibu yangu binafsi kwa uchache.

1) Wengi, pengine asilimia kubwa zaidi, za watoto wasio na bahati, hupatikana mimba kwa kujamiiana watu walio wa karibu kabisa, baba, mjomba, kaka, baba mdogo, baba mkubwa mpaka mababu.

Mashangazi, dada, mama mdogo, mama mkubwa nao wamo.

Watoto wanaopatikana ni kipi kitawazuwia wasiwe wa singo maza?

Wanasema "nyumba uloizowea kuihama ina kazi". Mtindo huo hujirudia sana tu.

Kuna kesi mbili tatu nazifahamu binafsi za namna hiyo, dunia haina siri.

Nyote, mnaoambiwa ni watoto wa singo maza msiowajuwa baba zenu, au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie babako" mjuwe baba zenu mnao na ni watu wenu wa karibu kabisa.

Tukiona Watanzania wengi ni mapoyoyo, hiyo nayo ni sababu ya kuwa na taifa lenye watoto wenye mapungufu.
Tatizo siyo wanaoitwa au jiita ma "singo mama" tu, kuna watoto wengi sana wanaoambiwa "mamako alikufa" au "babako alikufa", kumbe ni uwongo mtupu. Huyo baba au mama aliyekufa isibaki hata picha? Au ndugu zake?

Ma singo baba, sababu zao ni nini?

Tusilee uozo wa maadili.
Njoo pm chap kwa haraka
 
Tena anakubali kutombwa kavu siku za hatari

Kila siku nasema na narudia tena

Single maza ni mwanamke mjinga sana:

●KWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake

●PILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba

Single maza ni laana
Eeeeeh sio wote lkn
 
 
Single mother wanazidi Kwa sababu ya Kuzidi kwa Kule kujimwambafy wanawake na Kuendekeza Ufeminine kuiga wazungu..

Wazungu wao washazoea Kuwa masingle maza na wala hawana shida ila sisi Tunaiga na ndo maana tunapotea..
Chanzo kikubwa ni Ufeminine Kwishaaa
Swali ni je? Hao single maza wao wamelalamika chochote? Naona mnalalamika kwa niaba yao
 
Tena anakubali kutombwa kavu siku za hatari

Kila siku nasema na narudia tena

Single maza ni mwanamke mjinga sana:

●KWANZA, alikubali kutiwa mimba na mwanaume ambaye sio mume wake

●PILI, ujinga mwingine wa single maza ni kumchagua irresponsible man (mwanaume ambaye hayuko tayari kutimiza majukumu yake) amtie mimba

Single maza ni laana
Aloooo duhhh
 
Yaani siku hizi wasichana hawajui neno hapana... Ni mwiko kwao kukataa mwanaume hasa mwanaume ukiwa na vijipesa kidogo. Kabla hata hujamtongoza unamwambia kabisaa NIMEOA Ila bado kinakubal... Pamoja na yote unabak kujiuliza hiv huyu bint hana Future?? Ni muhitimu wa Chuo Kikuu unajiuliza huko Chuo alienda somea ujinga? Walah hii inasikitisha sana. Tatzo ni kubwa zaidi ya tunavyofikiri.
 
Back
Top Bottom