princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Hawaulizi hata je una furaha ? Au aulize taratibu hata akutumie tu meseji kuwa shida nini akusikilize..ndugu hawoni mambo mengine kuwa yana umuhimu,..kila mara wao wanaulizia watoto tu,...
Kwa Africa watoto ndio ufahari wao,...ndo sababu unaona watu wakijisifia kuwa na watoto wengi, lakini ukiangalia mazingira ya hao watoto, utawaonea huruma,.. watoto utadhani machokoraa😥😥Hawaulizi hata je una furaha ? Au aulize taratibu hata akutumie tu meseji kuwa shida nini akusikilize..
Ila wanangoja mpo kwenye umati wa watu " we unaolewa lini? Wenzio wote wanazaa we vipi?
😁Hakuna hasara, faida ni kuoa mwanamke ambaye tayari anaexperience ya kulea mtoto.
Sikujui Dada ila kwa Uandishi wako huu na Uzoefu wangu Tukuka wa Kubandua unaonekana uko Sexy sana na unajua Kubanduana vile vile. Heko Kwake uliyenae au kama huna basi si vibaya tukakutana Maji Madogo (PM) ili tuyajenge ili tukiwa pamoja uweze Kuizalia JamiiForums akina GENTAMYCINE wengi tu.We Kuna mtu kakukamata si bure🥴
Oa tu mkuu, sikuhizi hakupo kwenye uafadhali....ni vilio tu
Ila wa kwangu mi nampenda kweli nitampenda sikuzote....hatojutia daima.
Ila nikikasirika awe anatoka nje kwa muda,maana napiga vichwa😡
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sikujui Dada ila kwa Uandishi wako huu na Uzoefu wangu Tukuka wa Kubandua unaonekana uko Sexy sana na unajua Kubanduana vile vile. Heko Kwake uliyenae au kama huna basi si vibaya tukakutana Maji Madogo (PM) ili tuyajenge ili tukiwa pamoja uweze Kuizalia JamiiForums akina GENTAMYCINE wengi tu.
Akhsante kwa Mrejesho wako Dada na ningeshangaa sana kama Mrembo Wewe 'unayeninyegeza' hapa JF ukose Mume.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbavu zangu
Yaan kichwa chako na changu viungane🤣🤣🙌
Anyways...ninae mume, surely am into him.
🤣🤣🤣🤣Akhsante kwa Mrejesho wako Dada na ningeshangaa sana kama Mrembo Wewe 'unayeninyegeza' hapa JF ukose Mume.
Inasikitisha sana😭🙁 cursed is a man who rapes
Ubakaji maana yake nini sasa mkuu?Kama baba naye alikuwa na miaka 14 Bado utaita ubakaji