Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Shemela binti kiziwi naku Pinga hapo kwenye wanaume hawa pendi watoto.

Kwangu mimi watoto ndio marafiki zangu wa ukweli, nina mdogo wangu wa mwisho.
she is my everything.
 
single mothers wanaandamwa sana nikaona si mbaya ni kijua idadi yao kwa hapa Tanzania .

lakini nimetafuta takwimu halisi nimekosa

nilitaka nijue ukubwa wa tatizo nishauri serikali ni cha kufanya
 
Kusema ukweli huyu mbosso ni hatari
Ukibisha uwe na fact
 
Sasa unajivika bomu ili umfurahishe nani, kwanini usiachane tu na ilo from the first place?

Naoa ili nipate amani sio nilete vita nyumbani kwangu.
Usichoweza wewe wapo wanaoweza na kukifurahia.
Kuna watu shari kwao ni burudani.
 
Shule nzuri..... Kongole kwako
 
Eti wakuu ni sahihi kumchatisha single mother na usipofanya hivyo anajibebisha hatari .

Mimi binafsi hii naikataa hii
Hata kama kakunogesha kipochi manyoya na anaifinyia kwa ndani usithubutu, anapima uanaume wako ukilegea tu atakuendesha kama gari bovu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mwaka 2013 sitosahau huu mwaka .

Mtoto Mama mdogo alipewa Mimba na muhuni mmoja na alikuwa form four

Huyu binti alikuwa smart kuanzia nyumbani hadi shuleni.
Zilianza kusikika sauti za shangwe endapo hatokuwa Mwalimu basi atakuwa hata daktari.


Ila hauwezi kuamini alipofika mwezi wa Saba alipimwa na kukutwa na mimba ya miezi miwili na akasimamishwa Shule .



Japo tulitumia njia ya kutoa pesa ili tu afanye mtihani wa form four

Yes iliwezekana Ila hakutoboa aliishia kupata four


That was end .

Leo hii Ana miaka 30 Ana mtoto yupo darasa la sita


Ila ndoto zake kama binti kuolewa zimekufa

Ndoto za kusoma zimekufa

Yupo kijijini anafundisha tuition ya Chekechea

I feel the pain .


In future nafikiria kumfungulia day care na kumtoa kijijini.



Nachotaka kusema single mother ni laana ukishapewa mimba bila kuolewa unakuwa tayari ume attract mikosi na nuksi
 
Sidhani kama kuwa single mother ni hatia.

Single mother anaweza kuwa mwanamama aliyefiwa na mumewe akaachiwa watoto, kwa jina lingine tunaita mjane.

Single mother anaweza kuwa mwanamama aliyeachwa na mumewe bila sababu za msingi, either labda mwanaume alikuwa malaya, mshenzi nk.

Single mother anaweza kuwa mwanamke alijikuta amezalishwa na mwanamume katika hali ya kuteleza na baadhi ya terms zikafanya hawa watu wasioane labda shida ya dini, kabila nk ( Kuna jamii ziko strickly kwenye mambo haya).

Tunaweza kuwalaumu sana hawa single mother lakini unaweza kukuta 90% ya wanayoyapitia chanzo ni wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…