Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mbona wanaolewa ni vile tu yeye muda haujafika au vile amejieka wanaolewa single mother vizuri tu we humuoni Hamisa
 
Ni kupambana Tu asikae kinyonge
 
Kazi ya mwanaume ni kutoa provider so it up to you kujua unapokea nini unaweza pokea sperms ukapata Mimba
Tukiacha utani hapa duniani wote tumekutana na wote tunakosea... Kuna singomatha wenye maisha mazuri kuliko wewe hapo unaewasema kwamba wamelaani.

T
 
Mbona Aziz Ki kamkuta Hamisa Mobeto ana 2-0 na bado akamuoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…