Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Haaaaaa, Pole kitu cha Kujifunza ni Kua mwanamke ni Kiumbe mwingine ktk ulimwengu huu, Pia elewa mwanamke Hana Guarantee unapokua nae elewa lolote linaweza kutokea, kama unafanya Jambo lolote Fanya kwa Manufaa yako tu sio kuweka Tegemeo kwa mwanamke, usimpe mwanamke kipaumbele mwanamke ni Nyoka soma Biblia anguko lolote la mwanaume chanzo chake ni mwanamke.Dada habari Kwa majina naitwa ..... toka mbeya,mimi ni mzambia toka Lusaka kaka mimi dreva wa magari makubwa malori mimi nilioa binti yuko na mtoto kaka nimelea yule mtoto kama wangu pia na kumuanzisha shule na yule mtoto baba yake namfahamu
Sasa siku za karibuni hapa mimi nilirudi nyumbani pasipo kufanya mawasiliano na mwenzangu nilirudi nyumbani ghafla tu aliona sasa nikamkuta baba wa yule mtoto nikamuliza mwenzangu huyu kafwata nini alinijibu kwahiyo asije kumsalimu mwanae?
Mimi nikamuuliza mbona amuhudumii akanijibu hayakuhusu basi mimi nikaondoka maana niliwakuta mazingira sio mazuri wametoka kufanya tendo na mpaka niliamini tendo limefanyika nilimkuta kajifunika taulo langu yule mwanaume na mwanamke kavaa night dresses mimi nimeondoka wala sijamfanya kitu, nikachukua vitu vyangu vya muhimu nikaondoka vyombo nilimuachia kila kitu nilivyo beba vyeti vyangu na nguo zangu basi.
Umemaliza mkuuKuto..mbewa sio tu na baba mtoto bali hata uliyemuoa bikra analiwa tu.
Ma ex wanakulana sembuse baba mtoto?
Dunia hii ukiichulia serious unaweza kuogopa hata kukanyaga ardhi
Hii dunia ukitaka kuifaidi usiwe mbinafsi.Umemaliza mkuu
Siye tunatazama tu....kilamtu atavuna alichopandaHii dunia ukitaka kuifaidi usiwe mbinafsi.
Singo maza wanaonewa bure tu.
Wasio singo maza wanasaliti na kuumiza vibaya na singo pia wanaumiza kama wengine.
Yaah, wote tu wasaliti tu hata mleta uziSiye tunatazama tu....kilamtu atavuna alichopanda
🤣🤣 Hakika 🥴Yaah, wote tu wasaliti tu hata mleta uzi
Vipi mpenzi...nikutafute tukate kiu?🤣🤣 Hakika 🥴
Nimeolewa mkuuVipi mpenzi...nikutafute tukate kiu?
Au tucheat tu eti?Vipi mpenzi...nikutafute tukate kiu?
Hii nzuriAu tucheat tu eti?
Sasa kidude si mali yako?Nimeolewa mkuu
😅😅Ana taka tumuone mwamba eti akuleta fujo kumbe kiazi tu ,una t*mbewa na vitu unaacha kmkHuyo single mother alikua anakulea ndo mana umeondoka kindezi. Tafta hela bro huyo mama ndo alitakaiwa aondoke aende kwa huyo basha wake.